I'm a looser!!

I'm a looser!!

Wako wengi wanaopitia hali kama yako. Yaliyopita huwezi kuyabadili ila leo unaweza kuitumia vizuri uijenge kesho.
Pangisha chumba ktk hiyo nyumba upate mtaji. Anza kipato kidogo hata wakucheke.
See you on top

Usiuze nyumba,sio kwamba sijaona comments za watu waliokushauri usiuze nyumba,nimeziona,ila tunazikazia,unakataje tamaa wakati uwezo wa kusonga unao mzazi,kwa age hiyo siamini unaposema umekwama
 
Mkuu, kupata hiyo nyumba ndiyo uzima wako zaidi, komaa hadi ubadilishe hali yako yote ya ajira na familia (mke na watoto , Ukioa ).

Pana wengine hawana chochote hadi leo ila bado wanatarajia mambo kuwanyokea.
 
ina vyumba vinne na sebule...ila hali yake sio nzr sana hivyo inahitaji ukalabati....siishi ktk nyumba hyo bali kuna mpangaji anaihi humo japo kwa bei ndogo sana...

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyo mtu anayeishi hapo unasema analipa bei ndogo sana. Kama contract yake imeisha mpe notice ya mwezi mmoja / miwili kuhama mwambie unataka kuitengeza nyumba yako. Itengeneze halafu tafuta watu wengine.

Kwanza inabidi uamue kama:-
1) Utakodisha nyumba yote kwa mtu mmoja
2) kila chumba kimoja kwa mtu mmoja. Angalia ipi inakupa pesa zaidi.

Advertise the house, waambie wapangaji wakupe kodi ya nusu (kama miezi sita hivi in advance) halafu zilizobaki watamaliza wakihamia uwape tarehe pia na contract kupitia kwa Lawyer. Halafu tumia hiyo pesa kuikalabati. Sasa kama ukiitangaza na ukapata watu wape tarehe ya kuhamia ambayo itakupa kama mwezi mmoja hivi kuikarabati.

Kama kila chumba unapangisha 250,000shs, hiyo ni million moja kwa mwezi na million 12 kwa mwaka. kama wawili wakikulipa in advance kwa miezi sita hiyo ni million tatu, unaweza kuitumia kuikarabati nyumba yako.

Lakini inabidi ujue ukipangisha watu kama wanne, nyumba huw inaharibiki mapema kuliko ukimpangisha mtu mmoja kwenye nyumba yote. Kwahiyo inabidi uchague mwenyewe.

Kama ukarabati siyo mkubwa unaweza hata kufanya mwenyewe kama kupaka rangi, na vitu vidogo vidogo. Kama ukarabati ni Mkubwa waachie professionals wakusaidie.
 
sawa mkuu...ngoja muda ufike nimpe notice..bado miezi miwili

Pesa hiyo anayo kupa ksma anavhukua nyumba nzima hata kama ni ndogo ifanyie ukarabati ndo itarufisha pesa yako mapema
 
Jitahidi kuwa na mawazo chanya na kuwajibika kuhakikisha unatimiza ndoto zako.Epuka mawazo yote mabaya manake hayasaidii wala kujenga.
Pambana kuzikabili changamoto zako kwa juhudi zako zote huku ukimwomba Mungu kwa bidii na ushukuru kwa yote.
Usithubutu kuuza nyumba, manake hiyo ni asset muhimu
Haujachelewa chochote msingi unajitambua na Mungu amekupa uzima na afya njema
 
New York is 3 hours ahead of California,

but it does not make California slow.

Someone graduated at the age of 22,

but waited 5 years before securing a good job!

Someone became a CEO at 25,

and died at 50.

While another became a CEO at 50,

and lived to 90 years.

Someone is still single,

while someone else got married.

Obama retires at 55,

but Trump starts at 70.

Absolutely everyone in this world works based on their Time Zone.

People around you might seem to go ahead of you,

some might seem to be behind you.

But everyone is running their own RACE, in their own TIME.

Don’t envy them or mock them.

They are in their TIME ZONE, and you are in yours!

Life is about waiting for the right moment to act.

So, RELAX.

You’re not LATE.

You’re not EARLY.

You are very much ON TIME, and in your TIME ZONE Destiny set up for you.

In conclusion don't rush to get and don't be sad if things turn out to be slow.
In Gods hands time is a tool . He makes all things beautiful in His time. By Mugabe

Sent from my CAT B15 using JamiiForums mobile app
 
Hapana wewe sio looser bado una nafasi ya kufanya mabadiliko kamwe usiangalie past kwasababu huwezi kuibadilisha kikubwa sasa angalia mbele ,,, umri sio tatzo wala ndugu wala marafiki...hujachelewa anza sasa age is just a number

Sent using Jamii Forums mobile app
 
New York is 3 hours ahead of California,

but it does not make California slow.

Someone graduated at the age of 22,

but waited 5 years before securing a good job!

Someone became a CEO at 25,

and died at 50.

While another became a CEO at 50,

and lived to 90 years.

Someone is still single,

while someone else got married.

Obama retires at 55,

but Trump starts at 70.

Absolutely everyone in this world works based on their Time Zone.

People around you might seem to go ahead of you,

some might seem to be behind you.

But everyone is running their own RACE, in their own TIME.

Don’t envy them or mock them.

They are in their TIME ZONE, and you are in yours!

Life is about waiting for the right moment to act.

So, RELAX.

You’re not LATE.

You’re not EARLY.

You are very much ON TIME, and in your TIME ZONE Destiny set up for you.

In conclusion don't rush to get and don't be sad if things turn out to be slow.
In Gods hands time is a tool . He makes all things beautiful in His time. By Mugabe

Sent from my CAT B15 using JamiiForums mobile app
they are inspirational words...i have got a new insight from u...thank u.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom