Illuminati or Perfectibilists in Tanzania

How do i join them?

Sent using Jamii Forums mobile app
The Rosicrucian Order, AMORC
Angalizo
Kabla hujakubaliwa kujiunga lazima ule kiapo cha usiri na kufanyiwa initiations.
Once ukiingia, there is no going back, hivyo you have to know exactly what you wish to join.

Kama lengo lako la kujiunga ni kupata enlightening, then, proceed, lakini kama lengo lako ni kupata utajiri, please don't.

P
 
ondoa upuuzi wako wewe. Nyerere was never a freemansons. Na kuna watu wanaamini sana kuwa ndiyo maana hii nchi iliminywa sana, maana WB supports countries whose leaders are freemasonry, na if you do not become one of them they may take you out of power (among others na kama una natura resources) kama yanayotokea kwa gbagbo au gaddafi.

You need to dig about these secret society, who and how they take control of states, what they own kabla ya kuja na silly accusation zako hapa.
Ukitaka kujua kuwa Tanzania ya Nyerere ilikuwa ya Kichawi (Freemasonry), fuatilia kisa na mkasa wa mwenge!!
 
Ukishangaa ya Musa,.. utaona ya Firauni!!!!! Hawa ni watu ambao kila wakati wanamtwisha Mwalimu kila aina ya upuuzi! ambao hata haumhusu!
Sijajua lengo lao hasa ninini, lakini wengine ni kujitafutia umaarufu kwa kuonekana wanachambua tu mwenye upeo mkubwa.
Ila kwa hili la kutu uzia kilo 1 ya sembe na PAKETI la sigara kwa lazima hata kama huvuti KATKA maduka ya ushirika sio UONEVU KABISAA ndugu
 
The Rosicrucian Order, AMORC
Angalizo
Kabla hujakubaliwa kujiunga lazima ule kiapo cha usiri na kufanyiwa initiations.
Once ukiingia, there is no going back, hivyo you have to know exactly what you wish to join.

Kama lengo lako la kujiunga ni kupata enlightening, then, proceed, lakini kama lengo lako ni kupata utajiri, please don't.

P
Mkuu mi nayataka yooote mautajiri na umaarufu vipi hapo Kaka Mayalla
 
MKUU VIPI MAMBO YA KAFARA NI LAZIMA? NA ZINAUHUSIANO GANI NA ENLIGHTMENT
The Rosicrucian Order, AMORC
Angalizo
Kabla hujakubaliwa kujiunga lazima ule kiapo cha usiri na kufanyiwa initiations.
Once ukiingia, there is no going back, hivyo you have to know exactly what you wish to join.

Kama lengo lako la kujiunga ni kupata enlightening, then, proceed, lakini kama lengo lako ni kupata utajiri, please don't.

P
 
MKUU VIPI MAMBO YA KAFARA NI LAZIMA? NA ZINAUHUSIANO GANI NA ENLIGHTMENT
Hayo mambo ya kafara ni mambo yao ya ndani, usipokuwa uu mmoja wao huwezi kujua. Mimi nilitaka kujiunga, nilipofika stage ya kula kiapo cha usiri ili nifanyiwe initiation, nakaogopa, sijuendelea.
P
 
Chanzo cha mwenge wa uhuru ni nini, halafu pia jiulize ni alama ya watu gani?
ondoa upuuzi wako wewe. Nyerere was never a freemansons. Na kuna watu wanaamini sana kuwa ndiyo maana hii nchi iliminywa sana, maana WB supports countries whose leaders are freemasonry, na if you do not become one of them they may take you out of power (among others na kama una natura resources) kama yanayotokea kwa gbagbo au gaddafi.

You need to dig about these secret society, who and how they take control of states, what they own kabla ya kuja na silly accusation zako hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom