Illuminate: Why Tupac was murdered | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Illuminate: Why Tupac was murdered

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mkasika, Aug 11, 2011.

 1. Mkasika

  Mkasika JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Before Tupac died, he reavealed that he had sold his soul to the devil ( illuminate) , he started exposing the illuminate and started begging God to give him his soul back, this is a video he recorded for you and me to warn us about holywood, to be careful what we watch, because it might affect you

  http://www.youtube.com/watch?v=5QVyHl6A0-Q&feature=related

  Tupac used the same signs that lady Gaga,Rihana,J Zay, and others use today to glorify the illuminate.(The devil) Just hear him saying how he sold his soul to the devil, and how he regreted it..I hope God saved him before the satanist killed him.
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  very sad
   
 3. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,368
  Trophy Points: 280
  And Michael Jackson pia.. Illuminati ina power na haipingiki kiovyo ovyo.
   
 4. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Sick n' tired of these unproven theories about the death of 2pac. As a member of a gang, 2pac was gunned down by a rival gang. Period. As a gangster your life is always on the target by your rivals. Who doesn't remember after his death we were told he's not dead, but hiding somewhere and will return after 7 years....a don kiluminati theory? Seven years have passed by, and he's nowhere to be seen
  He's dead. He's done! RIP
   
 5. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,368
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  ni kweli unachosema, but kuna siri kubwa iliyopo.. Kama ww ni mfuatiliaji mzur wa rap utagundua kuwa eminem(not afraid), lil wayne(drop the world, she is on fire, 6 foot 7 foot, ribirth, no love) lupe fiasco, rick ross na T.I(got ya back, dead and gonne, T.I VS T.I.P) hata tupac alisema hayo katika wimbo wake wa alioimba na elton john pia alipotoa wimbo unaoitwa killuminati walimhoji sana. Ishu ni hivi..illuminati ipo na wafuatiliaji wanaitambua vizuri. Ukitaka mziki wako uuze ukiitumia inakupa soko mf lady gaga na rihana. Hata michael jackson aliwasema ktk wimbo wa 'they dnt care about us'. Born ths way ya lady gaga ameisifia illuminati. Na member wa illuminati wakigundua unawaponda wanakufanyia hila unapata matatizo mf kufungwa jela mf kwa lil wayne, dmx na T.I kulikuwa kuna sirh kubwa na ndio maana wasanii hawa walipotoka wameikashfu illuminati. Illuminati ni njia wanayoitumia secret societies kupotosha watu kwa kutumia mziki kwani watu wengi wanapenda mziki na hiyo ndio njia rahisi kuwapotosha. Illuminati ni sawa na NEW WORLD ORDER! Unaijuia new world order? Hii dunia una ushenzi mwingi kuuelezea nitachoka.
   
 6. G_crisis

  G_crisis JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 715
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Naomba endelea kuelezea utufumbue brain zetu mkuu
   
 7. N

  Ndoano Senior Member

  #7
  Aug 13, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tupac kauliwa na suge knight mambo ya conflict of interest na ndo maana mtu ambaye alikua amidentify muuaji aliuliwa ndani ya wiki..huu ni mpango wa suge knight na washirika wake
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,034
  Trophy Points: 280
  tuelezee bana......ili hata tukikutana nayo tuijue.....au hata kama imeshatukumba tuikatae mapema.......
   
 9. L

  Lofefm Senior Member

  #9
  Aug 13, 2011
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 131
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  jamani acheni woga wa ajabu. Usifikiri ni sifa kuya jua haya mambo huu ni mpango wa shetani kuleta hofu kwa watu. Ni yeye mwenyewe anaye sambaza hizi story lengo kubwa ni kuwafanya watu wakose tumaini la kuishi na kuona kwamba moto wa jeanamu haupingiki. Paka sasa kuna baadhi ya watu wana dai free manson ndio inayo husika na usambazaji wa biblia huo ni mfano tu . Wewe kasome vizuri vitabu vya dini kwa mfano ufunuo wa yohana kuna sehemu inakataza kutafuta kujua siri za shetani. Tutafute kumjua Mungu na sio shetani
   
 10. GABOO

  GABOO Senior Member

  #10
  Aug 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  O my GOD
   
 11. o

  obseva JF-Expert Member

  #11
  Aug 13, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 450
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 80
  NImeona ni vyema nichangie kidogo katika hoja hii, Kimsingi wanadamu watambue, tunazo falme mbili tu: ambazo ni ufalme wa MUNGU an ufalme wa shetani, kwa bahati mbaya wote wapo kiroho zaidi yaani hatuwezi kuwaona kimwili lakini twaweza kuona matokeo ya kazi zao.Kwa kuwa hawawezi onekana kwa miili yao basi wanatumia wanadamu hawahawa yaani wewe na mimi kukontrol dunia na vilivyomo. Nini maana yake? MUNGU anawatu wake wanajenga ufalme wake na shetani na majenti wake wana watu wao wajenja ufalme wao, na wote wanatumia vitu hivihivi vya kawaida mf Ndoa, muziki, sherehe mbalimbali, michezo, mila na desturi zetu, akili zetu, mawazo yetu na nk. Hivyo basi ni vigumu kutofautisha vinginevyo unazijua siri za upande uliopo na zinakusaidia kulinganisha na upande wa pili.

  Mimi huwa naamini hivi; ni vigumu sana tena nahisi hawezekani mtu aliye neutral kufanikiwa kama hakutumia nguvu za yeyote katika falme hizi, lazima tu utajribiwa kuingia ufalme mmojawapo kwani mambo yatendekayo katika dunia ni kama yanafanana sana kwani yanaingiliana na tamaduni zetu za kawaida kabisa kiasi huwezi tofautisha vinginevyo unazijua siri.

  Kwa maana nyingine pia tuna wanaadamu watumishi wa MUNGU na watumishi wa shetani wote wakifanya kazi kutukuza pande wazitumikiazo na wanalipwa hapahapa duniani na watalipwa mbele za haki pia. Jambo muhimu ni kuwa pamoja na falme hizi mbili mmoja ya MUNGU una nguvu zaidi na unayohatima ya mtu kwa sababu ndio uliyemuumba na unafahamu makusudi ya kuumbwa kwake. Na kwasabaubu falme hizi zimefarakana usijaribu kutoa sifa upande tofauti na ule unaoutumikia, ndio maana baadhi ya wachangiaji juu wameonyesha vifo vya baadhi ya wanamuziki kadhaa baada ya kuuasi ufalme wa awali na kulejea kwa MUNGU.

  Hapa ieleweke mtu anaweza kuhamia ufalme wowote bilashaka yoyote lakini ukitoka kwa shetani kuja kwa MUNGU, nakuomba watufute watu wazijuazo siri za MUNGU wakusaidie kwenye kipindi cha mpito kwani ufalme wa shetani hautaki siri zake zijulikane hivyo basi kuuwa ni siri ya kudumisha ufalme, na kwakuwa wanahama wanakuwa na nguvu kidogo za kumpinga shetani anawamaliza kirahisi cna tofauti na wangipitia mikononi mwa wabeba siri wa MUNGU.

  Kuna mchangiaji alitoahoja kuwa mambo haya yatia hofu kwa watu iliwakose tumaini, naafiki ni kweli kwa watu walioupande wa shetani na wale walio kwa mungu wasiemjua hii ni hofu kubwa. Lakini naamini kwa walio kwa MUNGU ni ushindi mkuu, kwani askari yeyote anayekwenda kutetea ufalme wake anahitaji habari za namna ya kulinda na kupigana., kwa maana hiyo habari ni kila kitu kwa mpiganaji na ukiangalia kwa makini wanotoa habari hizi ni wale walio uchoka ufalme na ambao ndo hao hao wanakufa wakiwa kwenye harakati za kujitoa.

  Chamsingi watu wasiogope ilawatumia habari kuimarisha ufalme wa MUNGU kwani naamini ndio ufalme bora.
   
 12. K

  Karry JF-Expert Member

  #12
  Aug 15, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  duh hii balaa
   
 13. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #13
  Aug 15, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  suge night tena,...aaaah!..kifo cha 2 pac kina mengi
   
Loading...