Tetesi: Iliyokuwa CRDB bank sasa yageuzwa kuwa Chato Club

Tetesi sio ulete uongo mkuu, mleta uzi kapotosha makusudi kwa sababu zake mwenyewe,je hilo ndio jengo la CRDB la sasa? tuuache kuteteta upuuzi bana ,hizo ni chuki za kijinga.
Yeye halijui ila aliwahi kusikia kuhusu ufunguaji wa tawi hilo likilalamikiwa, sasa amesikia toka kwa mwingine wa mwingine wa mwingine kuwa limefungwa. Kinachotakiwa ni kumthibitishia kuwa bado lipo.
Siku zote tetesi inaweza kuwa kweli au uongo.
 
Huku nako Vicky Kamata kachomoa battery. Acha Mungu aitwe Mungu

View attachment 1976147
kuna mijitu imekula billion shilingi za nchi hii wanatesa mtaani halafu mnataka msemaje kwani? Yani tusahau kisa kutolewa muhanga kwa mtu mmoja. Hicho chama chote kimeoza na si suala la kumshushia jumba bovu mwendazake peke yake. Wote ni watoto wa baba mmoja. Hili la Muumba kumtoa mwanae wa pekee kwaajili ya kukomboa wanadamu ndilo naliona hapa katika kurudisha Imani za wananchi kwa mitazamo ya kibinadamu.
 
Huyu Vicky nae any amaze.
Alipotaka kuzulumu Mali za watoto wa mumewe haikuwa uonevu e?
Ndugu yangu wee. Sema wewe. Huyu ni mmoja ya wabunge wa hovyo hovyo kabisa ambao wako bungeni kujaza matumbo yao wakati wananchi wanakufa kwa umaskini huku halafu leo eti anajifanya kujipaka wema!
 
Ndugu yangu wee. Sema wewe. Huyu ni mmoja ya wabunge wa hovyo hovyo kabisa ambao wako bungeni kujaza matumbo yao wakati wananchi wanakufa kwa umaskini huku halafu leo eti anajifanya kujipaka wema!
Yaniii
Mzee baba hakuwa na utani na wadangaji kule bungeni ndo maana akawa na joto hasira
 
Huyu Vick ni hovyo tu kilichotokea ni hivi Vicky alikuwa hawara wa zamani sana wa Likwelile Wala Hakuwa mkewe.Akazaa na Likwelile mtoto mmoja wa nje ya ndoa Likwelile akiwa na mkewe na watoto

Baadaye kila mtu akaendelea na maisha yake Vicky Kamata kipindi Cha Kikwete akapata ubunge wa viti maalumu .Akiwa bungeni alipata mwanaume sio mbunge akapitisha kadi kwa wabunge kuwa kapata mume wa kumuoa wamchangie akachangiwa sana na wabunge pesa akawa anashika huyo anayeitwa mumewe mtarajiwa siku ikafika ya send off mwanaume akaingia mitini na pesa zote za michango ya wabunge na watu maarufu!! Ilimchanganya sana kuachika na pesa walichanga watu kuota mbawa!!!

Likwelile kipindi hicho keshatumbuliwa na akawa kafiwa na mkewe Ndipo Vicky akaamua kumrudia kipindi hicho Likwelile afya yake ilikuwa mgogoro.Alipokufa Ndipo Vicky akaanza kuleta za kuleta kutaka kudhulumu Mali za watoto wa Likwelile!!

Hapa anatafuta huruma feki ya Mama Samia.arudishe pesa za michango ya wabunge walizotapeli na huyo mumewe hewa Kama michango ya harusi hewa

Yeye na huyo mume hewa walipanga kutapeli mamilioni ya michango ya wabunge kwa harusi hewa
Mihela yote ya ubunge bado zulumatii
Akwendre
 
kuna mijitu imekula billion shilingi za nchi hii wanatesa mtaani halafu mnataka msemaje kwani? Yani tusahau kisa kutolewa muhanga kwa mtu mmoja. Hicho chama chote kimeoza na si suala la kumshushia jumba bovu mwendazake peke yake. Wote ni watoto wa baba mmoja. Hili la Muumba kumtoa mwanae wa pekee kwaajili ya kukomboa wanadamu ndilo naliona hapa katika kurudisha Imani za wananchi kwa mitazamo ya kibinadamu.
Sijaelewa concern yako, nani katolewa kafara?
 
Wanafiki utawajua tu huyu pimbi hana lolote kwanza yeye ndie wa hovyo ,hata benki kuu aliingia kwa gia za kujuana na sio kwa vyeti na hata ubunge wenyewe alipata kimagumashi na mwishowe yeye mbona alitaka kuwadhurumu watoto wa mwananume aliyedandia njiani , nae atubu kwa watoto na wanafamilia wa Dr Likwelile na hizo kamati sio mali zao kwa hiyo kuondolewa au kutoondolewa kusilete chuki,hizo kamati walizikuta na zinakuwa na watu mbalimbali na si ndio wao walisema wanajiuzuru wao wenyewe, waliondolewa akina Zitto hatukusikia kelele juzi tu Polepole kaondolewa kwenye kamati hayujasikia hizo ngonjera sijui za nani kafanya nini, huyu anatafuta huruma tu kutoka kwa mama angalau apewe UDC kisa mwanamke,kwanza kenyewe kana roho mbaya kama nini, tunakajua toka kakiwa misheni town Mwanza na kamezidi jeuri baada ya kuwa mbunge.
Duh kumbe ni retired mission towner
 
Kifo Tu ndicho kilimuweza,jamaa alikuwa strong sana Yule, angebaki miaka 20 mingine Duniani watu wangelia sana, alikuwa hafichi kama hakupendi anasema kabisa wazi ushughulikiwe
IGP mshuhurikieni huyu haraka sana
 
Una roho ya kichawi.....
Hv nikuulize Swali Chato ipo Tanzania au Kenya!!?
hao ndio wale watanzania wenzetu ambao baba zao na kaka zao ni wanasiasa maarufu wameenda kuficha fedha nchi za nje huko so yakiona kuna kiongozi anajenga hapa hapa ndani Tanzania yanakuwa yanajawa na choyo na roho mbaya mana furaha yao ni kutuona sisi tukitembea matako wazi tukiwapigia makofi ndugu zao.

Hii nchi shida sana ukiwa maskini unakuwa na roho mbaya lakini bado wenye hela nao wana choyo na roho mbaya zaidi ya kuona waTanzania wenzao wakitembea kwenye lami safi Dar-Dodoma,tunakesha na umeme 24/7,watu wanasafiri na meli kutoka mwanza kwenda kagera kwa haraka na unafuu zaidi,wanafunzi mashuleni wakisoma kwa idadi nzuri ya vitabu na kadhalika.
 
Sina cheti Cha kuzaliwa Cha huyo mtu Wala ushahidi hebu tuwekee ushahidi wewe humu Kama huyo ni mtoto wa dada yake weka cheti Cha kuzaliwa Cha dada yake Magufuli na Cha huyo viweke humu

Weka ushahidi yaani documentary evidence
Ishu ni kwamba huyo Vicki alitaka mumewe azeekee su afie kwenye hicho cheo kwani ni nchi ya ba mkwe wake?
 
.
Screenshot_20211016-163731.jpg
 
Jengo la CRDB Chato haliko hivyo jamaa yangu. Hiyo itakuwa club tu ya kawaida lakini sio CRDB Chato, yule Mzee alipenda majengo mazuri yasimame Chato.
 
ayo ndio wale watanzania wenzetu lakini baba zao na kaka zao wanasiasa maarufu yameenda kuficha fedha nchi za nje huko so yakiona kuna kiongozi anajenga hapa hapa ndani Tanzania yanakuwa yanajawa na choyo na roho mbaya mana furaha yao ni kutuona sisi tukitembea matako wazi tukiwapigia makofi ndugu zao.

Hii nchi shida sana ukiwa maskini unaluqa na roho mbaya lakini bado wenye hela nao wana choyo na roho mbaya zaidi ya kuona waTanzania wenzao wakitembea kwenye lami safi Dar-Dodoma,tunakesha na umeme 24/7,watu wanasafiri na meli kutoka mwanza kwenda kagera kwa haraka na unafuu zaidi,wanafunzi mashuleni wakisoma kwa idadi nzuri ya vitabu na kadhalika.
Kweli kabisa yanajifanya yanalia lia majizi kabisa haya yamenufaika sana na hela za watanzainia masikini.....
lakini bado hayatosheki bado yanajifanya yanalia lia Mzee alibana anainenga nchi yanalia matak.o yao kabisa
Eti leo linamwita Kina....
mtu......kha
 
ayo ndio wale watanzania wenzetu lakini baba zao na kaka zao wanasiasa maarufu yameenda kuficha fedha nchi za nje huko so yakiona kuna kiongozi anajenga hapa hapa ndani Tanzania yanakuwa yanajawa na choyo na roho mbaya mana furaha yao ni kutuona sisi tukitembea matako wazi tukiwapigia makofi ndugu zao.

Hii nchi shida sana ukiwa maskini unaluqa na roho mbaya lakini bado wenye hela nao wana choyo na roho mbaya zaidi ya kuona waTanzania wenzao wakitembea kwenye lami safi Dar-Dodoma,tunakesha na umeme 24/7,watu wanasafiri na meli kutoka mwanza kwenda kagera kwa haraka na unafuu zaidi,wanafunzi mashuleni wakisoma kwa idadi nzuri ya vitabu na kadhalika.
Kweli kabisa yanajifanya yanalia lia majizi kabisa haya yamenufaika sana na hela za watanzainia masikini.....
lakini bado hayatosheki bado yanajifanya yanalia lia Mzee alibana anainenga nchi yanalia matako yao kabisa
 
Sijaelewa concern yako, nani katolewa kafara?
Yule aliyezua gumzo wakati huu, kimsingi hili panga la haki likisema lisiangalie nani na nani katika kile chama pendwa hakuna kiongozi yoyote atakaye epuka makali ya panga hili. Kiufupi tu namaanisha upande huo hakuna wakumnyooshea mwenzie kidole wote wachafu tu.
 
Back
Top Bottom