maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,120
- 4,850
Asante kumbe kuna uwezekano wa kujifunza pia!, naomba kujuzwa inawezekana kujikinga bila kuchanjwaNilienda kujifunza na kufunza
Epuka kabisa kuchanjwa, hiyo ni mihuri ya kiroho.. Kuna vitu na mimea ya asili ukivitumia huhitaji chale hata mojaAsante kumbe kuna uwezekano wa kujifunza pia!, naomba kujuzwa inawezekana kujikinga bila kuchanjwa
😀😀😀Ni ujinga tu
Asilimia chache sana ya waafrika ambao hawajachanjwa. Watu wanachale tangu utotoni unakuja kuziona ukubwani. Unauliza unaambiwa ni dawa ulikua unaumwa. Kumbe mihuri motoEpuka kabisa kuchanjwa, hiyo ni mihuri ya kiroho.. Kuna vitu na mimea ya asili ukivitumia huhitaji chale hata moja
Mfano ukifanikiwa kupata mafuta ya simba , ukaogea chumvi kisha ukajipaka kwa siku 7 mfululizo bila kujitia najisi yoyote umeula
We are African and Africa is our business..Ni ujinga tu
Sahihi kabisaAsilimia chache sana ya waafrika ambao hawajachanjwa. Watu wanachale tangu utotoni unakuja kuziona ukubwani. Unauliza unaambiwa ni dawa ulikua unaumwa. Kumbe mihuri moto
Sangoma mwenyewe kachokaa kachaka , ni upimbi kumfuata akupe utajiriWe are African and Africa is our business..
Sijawahi chanjwa kwa imani za kichawi na kishirikinaAsilimia chache sana ya waafrika ambao hawajachanjwa. Watu wanachale tangu utotoni unakuja kuziona ukubwani. Unauliza unaambiwa ni dawa ulikua unaumwa. Kumbe mihuri moto
Asante nmekumbuka kipindi nakua familia yetu iliandamwa sana na ulozi ikabidi mzee ashughulikie hili swala, akaitwa mtaalamu akaja akafanya yake akachanja wote ila mi nilikimbia kiukweli hua sipendwi kuchanjwa toka mdogo, na majanga yananiandama mimi sana tofauti na wenzanguEpuka kabisa kuchanjwa, hiyo ni mihuri ya kiroho.. Kuna vitu na mimea ya asili ukivitumia huhitaji chale hata moja
Mfano ukifanikiwa kupata mafuta ya simba , ukaogea chumvi kisha ukajipaka kwa siku 7 mfululizo bila kujitia najisi yoyote umeula
Wese la simba? Masiala hayo !!Epuka kabisa kuchanjwa, hiyo ni mihuri ya kiroho.. Kuna vitu na mimea ya asili ukivitumia huhitaji chale hata moja
Mfano ukifanikiwa kupata mafuta ya simba , ukaogea chumvi kisha ukajipaka kwa siku 7 mfululizo bila kujitia najisi yoyote umeula
Hiyo ya utajiri umeitoa wapi wewe🤔🤔.Sangoma mwenyewe kachokaa kachaka , ni upimbi kumfuata akupe utajiri
watu wanasaidika, dunia ina mengiNi ujinga tu
Jikague vizuri kwanza tena jikague vizuri wewe wachaga. Walitangulia sanaSijawahi chanjwa kwa imani za kichawi na kishirikina
Ndio mambo ya wamatumbi wengi wanayafuata kwa sangoma 😅Hiyo ya utajiri umeitoa wapi wewe🤔🤔.
Asilimia chache sana ya waafrika ambao hawajachanjwa. Watu wanachale tangu utotoni unakuja kuziona ukubwani. Unauliza unaambiwa ni dawa ulikua unaumwa. Kumbe mihuri moto