Ilikuwaje Mawaziri na Vigogo wengi wakawa Wasukuma awamu ya 5?

Hahaaa hatari sana kuna kitaasisi fulani cha serikali nakijua kiko Dar kinajishughulisha na mambo flani ya usafirishaji , yaani kimejaa wasukuma mpaka wale ambao hawajui kiswahili yaani ni balaa , inafika kipindi hata management wanaendesha vikao kwa kikwao, tulifika pabaya sana na mama naye anaendelea nao tu , halafu bado anajiona yeye ndio anaongoza kumbe mzimu wa mwendazake ndio uko nyuma yake
 
Kuongelea wasukuma watu wanapoteza muda, lile NI kabila kubwa Afrika Mashariki .wamejaa nchi nzima mbali na Kanda ya ziwa Morogoro wapo na wanakaribia 1/3 ya population, Lindi wamejaa,Mbeya, Katavi, Kasulu,sasa hivi wamevuka wako Msumbiji.Sifa yao kubwa uzazi wa mpango kwao ni watoto kumi kwa mwanamke mmoja.Sifa nyingi ni kwamba sasa wamegundua faida ya elimu.Miaka 20 ijayo mtashangaa.So waacheni wale mema ya nchi kwa faida ya idadi yao.Kuchanja wamekataa
 
awamu ya nne wafuatao walikuwa mawaziri kutoka usukumani kwa nyakati tofauti ndani ya awam ya 4:

Dialo,Masele,Ngereja,
Tizeba,Magufuli, Ng'wandu, Chenge,Kalemani,Kitwanga, masha

Wapo 10.
Huwezi kuzuia mafuriko kwa mikono utasombwanaambiwa zaaneni muongezeke mnafuata wazungu
 
Sasa ilikuwaje Tanzania tukawa na Raisi mtusi?
 
Wasukuma ni kama maji huna cha kuwafanya usipowaoga utawanywa.

Hebu tuambie ni msukuma gani aliyeondolewa kwenye nafasi yake mpaka sasa.
Kazi ya kuwareplace imeanza kwisha habari yenu
 
Kabisa hawa jamaa ni wakabila balaa
 
Wewe ni mkabila na mtu hatari sana kwa usalama wa nchi yetu. Unaleta hoja ya ukabila hapa tena bila hata ushahidi. Kama wewe ni mkabila hivyo lete urodha ya Mawaziri, Makatibu Wakuu na viongozi wote uliowataja na uweke uthibitisho wa kabila la kila mmoja. Karne ya 21 bado unaleta hoza za ukabila?
 
Ova
 
Unapoandika nakusema wengi bila ushahidi nakuona kama bwege vile! Taja wasukuma ktk baraza la mawaziri walikuwa wangapi ukilinganisha na serikali kabla ya Magufuli. Msomi hasemi wengi, anataja idadi na majina.
Tuliposema wachaga walijaa TRA na CRDB tulikuwa na ushahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…