Ilikuwaje Mawaziri na Vigogo wengi wakawa Wasukuma awamu ya 5?

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
12,281
2,000
Hivi ni kwa bahati mbaya tu au ilipangwa awamu ya tano kuanzia mawaziri,makatibu na sekta nyeti zote za nchi kukamatwa na wasukuma?

Mm binafsi sina shida na wasukuma ni ndugu zangu tena wakwe kabisa japo najua mwendazake alikua keshawapandikiza roho ya kuanza kujikuta wao tu ndo wastahili

Ilifika mahali ukimtania msukuma unanyooshewa kidole kwamba unampeeb rais

Niachane na hayo mimi swali langu tu ilikuaje wakati wa awamu ya tano mawaziri makatibu manaibu waziri jeshini usalama na kila mahali wakajazwa watu wa kabila la wasukuma tu?Jee ilikua ni bahati mbaya au mipango mkakati wa baadae?maana hata bungeni walichomekwa hata mmoja akatoa waraka wa kuundwa jeshi la wasukuma

Mimi nawaza tu rais angekua katika mkoa flan hv wale jamaa wa kanda ile ya kule penye maendeleo sana na ateue hata waziri mmoja tu wa kutoka kanda hiyo si angetukanwa,kukemewa na kulaaniwa nchi nzima kwamba ni mkabila?ila kwa wengine ni sawa?hii sio haki ni mkuki kwa nguruwe...watz wote ni sawa ukabila ni mbaya sana

Haya turudi kwenye swali la msingi swali langu tu ilikuaje wakati wa awamu ya tano mawaziri makatibu manaibu waziri jeshini usalama na kila mahali wakajazwa watu wa kabila la wasukuma tu?Jee ilikua ni bahati mbaya au mipango mkakati wa maksudi?
Wilaya ya Siha huko Kilimanjaro ilikiwa hivi:
DC msukuma
DED msukuma
DAS msukuma
98% ya watendaji kata Wasukuma.

Yaani ni hatari fire. Hao watatu wa mwanzo wameondolewa ila hao 98% bado wapo na sijui kwa nn Kilimanjaro ndiyo walijazwa wasukuma.

Ukiangalia CEO wa taasisi zote Tanzania wakati wa mwendazake 70% walikuwa wasukuma
 
ilala yetu

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
705
1,000
Kims mambo mengine tuwe na aibu hivi jafo, mpango, mkumbo, mkenda, ndalichako, nk ni wasukuma? AIBU uzushi haufai halafu anayezushiwa keshaitwa.
Umetaja wat wanne na kadhalika,
Ebu toa iyo nakadhalika tutajie wote,
Tuchambue hapa..
Mimi naongeza sio mawaziri tu ad wabunge wasukuma wengi wapo majimbo mengi tu wamechomekwa.
Wakuu wa mikoa wakutosha..
Tulikua wapole tukatii mamlaka kujua yatapita t ataenda zake
 
Anonymous Caller

Senior Member
Sep 8, 2016
197
250
Sawa tunajua kwamba habanwi na sheria. Lkn mleta mada anataka kujua kwann Mawaziri wengi awamu ya tano walikuwa wasukuma?? Mpeni jibu msimzungushe.
awamu ya nne wafuatao walikuwa mawaziri kutoka usukumani kwa nyakati tofauti ndani ya awam ya 4:

Dialo,Masele,Ngereja,
Tizeba,Magufuli, Ng'wandu, Chenge,Kalemani,Kitwanga, masha

Wapo 10.
 
Katwangilo

JF-Expert Member
Jun 10, 2021
437
500
Weka angalau mawaziri 15 ambao ni wasukuma pure, then utaupa nguvu uzi wako vinginevyo ni majungu,umbea na wivu wa jinsia ile pendwa!
 
Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
8,086
2,000
Hivi ni kwa bahati mbaya tu au ilipangwa awamu ya tano kuanzia mawaziri,makatibu na sekta nyeti zote za nchi kukamatwa na wasukuma?

Mm binafsi sina shida na wasukuma ni ndugu zangu tena wakwe kabisa japo najua mwendazake alikua keshawapandikiza roho ya kuanza kujikuta wao tu ndo wastahili

Ilifika mahali ukimtania msukuma unanyooshewa kidole kwamba unampeeb rais

Niachane na hayo mimi swali langu tu ilikuaje wakati wa awamu ya tano mawaziri makatibu manaibu waziri jeshini usalama na kila mahali wakajazwa watu wa kabila la wasukuma tu?Jee ilikua ni bahati mbaya au mipango mkakati wa baadae?maana hata bungeni walichomekwa hata mmoja akatoa waraka wa kuundwa jeshi la wasukuma

Mimi nawaza tu rais angekua katika mkoa flan hv wale jamaa wa kanda ile ya kule penye maendeleo sana na ateue hata waziri mmoja tu wa kutoka kanda hiyo si angetukanwa,kukemewa na kulaaniwa nchi nzima kwamba ni mkabila?ila kwa wengine ni sawa?hii sio haki ni mkuki kwa nguruwe...watz wote ni sawa ukabila ni mbaya sana

Haya turudi kwenye swali la msingi swali langu tu ilikuaje wakati wa awamu ya tano mawaziri makatibu manaibu waziri jeshini usalama na kila mahali wakajazwa watu wa kabila la wasukuma tu?Jee ilikua ni bahati mbaya au mipango mkakati wa maksudi?
Aisee ni kweli, technically Kanda ya Ziwa kwa ujumla kasoro wahaya ndio walikuwa wachache
 
G4N

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
761
1,000
awamu ya nne wafuatao walikuwa mawaziri kutoka usukumani kwa nyakati tofauti ndani ya awam ya 4:

Dialo,Masele,Ngereja,
Tizeba,Magufuli, Ng'wandu, Chenge,Kalemani,Kitwanga, masha

Wapo 10.
Bado unakwepa swali. Swali Ni kwamba kwann awamu ya tano (siyo ya 4) mawaziri wengi walikuwa wasukuma??
 
FORTALEZA

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
8,505
2,000
Majaliwa, mpango, ummy, ndalichako, mwinyi, nchemba, mhagama, Mwakyembe, kabudi,
Kwandikwa, Doto Biteko, Mary Masanja, Angeline Mabula, hao ni wasukuma, sema mtoa mada angesema Cabinet ilijaa kanda ya ziwa hapo ndio angepatia
 
Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
8,086
2,000
kuna utaratibu fulani usio rasmi bado una-prevail sana tanzania.

Kwamba teuzi za mawaziri zinazingatia pamoja na vigezo vingne pia mtawanyiko wa kijiografia.

Hapa kwny diversity, kinachoangaliwa sio kabila bali mkoa.
kwamba atleast kila mkoa atoke waziri au naibu.

Tuna mikoa 26..
kanda ya ziwa pekee kuna mikoa 6.
mikoa 4 kati ya sita inakaliwa na wasukuma tu kwa asilimia kubwa.

Lakini zipo jamii za kisukuma zisizoishi usukumani mfano kina ndugulile.

Si rahs kukosa mawaziri 5,6,7 au nane kutoka maeneo hayo.

Kwa vigogo sijui labda uwataje.
Leo ndio nimejua kwa nini ndungulile alirudishwa kundini na Mwendazake,kumbe ni Msukuma wa mjini
 
Fasta fasta

JF-Expert Member
Feb 15, 2011
909
500
Weka angalau mawaziri 15 ambao ni wasukuma pure, then utaupa nguvu uzi wako vinginevyo ni majungu,umbea na wivu wa jinsia ile pendwa!
Kwa kweli ninawasiwasi hata hili bunge lake la awamu ya tano ya kupitata Bala kupingwa. Sio ajabu kuna watu wamepelekewa mbunge na wazawa wakaishia jela.

Wasukuma ni mashahidi hivi 2020 kulikuwa na uchaguzi?
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
26,037
2,000
Haya turudi kwenye swali la msingi swali langu tu ilikuaje wakati wa awamu ya tano mawaziri makatibu manaibu waziri jeshini usalama na kila mahali wakajazwa watu wa kabila la wasukuma tu?Jee ilikua ni bahati mbaya au mipango mkakati wa maksudi
Kwani mpaka sasa Mama kamng'oa nani toka mawaziri wa Magufuli?
 
Pulchra Animo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
2,127
2,000
awamu ya nne wafuatao walikuwa mawaziri kutoka usukumani kwa nyakati tofauti ndani ya awam ya 4:

Dialo,Masele,Ngereja,
Tizeba,Magufuli, Ng'wandu, Chenge,Kalemani,Kitwanga, masha

Wapo 10.

Wasukuma hawafai kuitwa kabila; tuwaite taifa la Wasukuma. Ni kabila gani linalohitaji mikoa mitano?

Wasukuma wangekuwa na ukabila kama wenzangu na mimi, hii nchi isingetawalika!
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
49,613
2,000
Doto Biteko, kiasili ni mtusi
Ndalichako, kiasili ni mhutu
Mpango ni muha
Marehemu mwenyewe, kiasili ni mtusi

Lakini mmekuwa mkiwajumuisha wote kuwa ni wasukuma. Ni kweli kuwa marehemu alikuwa mbaguzi. Zaidi ya 80% ya teuzi zake ilikuwa kutoka kanda ya Ziwa.
Teuzi zililalia upande mmoja pekee
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom