Ilikuwaje Mawaziri na Vigogo wengi wakawa Wasukuma awamu ya 5?

Kuwa makini sana na taarifa zisizo kuwa za kweli, maana ni hatari sana kuliko ujinga!
 
Awamu ya tano ilikuwa ya ukabila, awamu ya sita ni ya udini
 
Kwani kwa sasa wamebadili kabila

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Weka data basi. Asilimia ngapi ya viongozi walikuwa wasukuma?
 

Yawezekana hao ndiyo walikuwa wamejichimbia zaidi.
 
Hadi sasa imeshindikana kuthibitisha ukweli wa hii mada
 
Songwe ni Mkoa wa Wasukuma? hahhahahahaha
 
Ni vigumu sana kumfanya kila mtu akukubali. Mara museme hayati alikuwa siyo mtanzania na alikuwa analindwa wanyarandwa. Asa hivi tena unaongelea wasukuma. Yawezekana ulikuwa na vyeti feki alitumbuliwa ndio maana unahasira na hayati.
 
Kabla ya hukumu mheshiwa jaji popote ulipo nitakuomba kwa moyo mkunjufu uzingatie hoja hii ya msingi, Kwanza itambidi mlalamikaji atueleze Kanda ya ziwa Kuna makabila mangapi mfano Kagera wahaya, wanyambo, wayoza nk Mwanza Wakelewe,wajita,sukuma,wazinza,wakara nk Mara wakurya,waikizu,wasizaki,wazanaki nk Simiyu Wanyantuzu,wanang'wagala,wanang'ung'u, wananasa nk Shinyanga wasumbwa nk.
Baada ya kutupatia kwa ukamilifu wake atuambie sasa Kati ya hao wasukuma ni wangapi?
Ni hayo tu mheshimiwa
 
Mbaguzi embu tupatie orodha kwanza inayo justfy hilo halafu tukupe statistics

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Wewe mkuu uwe makini hakuna kabila la wanyantuzu huo uelewa wako tu hao ni jamii za kisukuma kama wanakiya! Na kwa taarifa yako hao wanyantuzu ndo wasukuma original!
 
Eee
 
Awamu ya mwendazake haya yalinawiri;
Ukabila
ukanda
Upendeleo
Uonevu kwa wasio wasukuma serikalini.
Ilibakia kutangaza kisukuma kuwa lugha ya taifa, kwendraaaa zake!
 
Awamu ya mwendazake haya yalinawiri;
Ukabila
ukanda
Upendeleo
Uonevu kwa wasio wasukuma serikalini.
Ilibakia kutangaza kisukuma kuwa lugha ya taifa, kwendraaaa zake!
Wasukuma ni kama maji huna cha kuwafanya usipowaoga utawanywa.

Hebu tuambie ni msukuma gani aliyeondolewa kwenye nafasi yake mpaka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…