Kuwa makini sana na taarifa zisizo kuwa za kweli, maana ni hatari sana kuliko ujinga!Hivi ni kwa bahati mbaya tu au ilipangwa awamu ya tano kuanzia mawaziri,makatibu na sekta nyeti zote za nchi kukamatwa na wasukuma?
Mm binafsi sina shida na wasukuma ni ndugu zangu tena wakwe kabisa japo najua mwendazake alikua keshawapandikiza roho ya kuanza kujikuta wao tu ndo wastahili
Ilifika mahali ukimtania msukuma unanyooshewa kidole kwamba unampeeb rais
Niachane na hayo mimi swali langu tu ilikuaje wakati wa awamu ya tano mawaziri makatibu manaibu waziri jeshini usalama na kila mahali wakajazwa watu wa kabila la wasukuma tu?Jee ilikua ni bahati mbaya au mipango mkakati wa baadae?maana hata bungeni walichomekwa hata mmoja akatoa waraka wa kuundwa jeshi la wasukuma
Mimi nawaza tu rais angekua katika mkoa flan hv wale jamaa wa kanda ile ya kule penye maendeleo sana na ateue hata waziri mmoja tu wa kutoka kanda hiyo si angetukanwa,kukemewa na kulaaniwa nchi nzima kwamba ni mkabila?ila kwa wengine ni sawa?hii sio haki ni mkuki kwa nguruwe...watz wote ni sawa ukabila ni mbaya sana
Haya turudi kwenye swali la msingi swali langu tu ilikuaje wakati wa awamu ya tano mawaziri makatibu manaibu waziri jeshini usalama na kila mahali wakajazwa watu wa kabila la wasukuma tu?Jee ilikua ni bahati mbaya au mipango mkakati wa maksudi?