Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 3,549
- 7,619
😥😥😭 Valentina wangu..Tulianzana FB, I never imagine kama tungeonanaga, kipindi hicho alikua huko nchi ya watu
Mawasiliano mdogo mdogo inaweza pita mamiezi hatujawasiliana, kisha tukapeana namba
Akanirushia wavu ila sikumuelewa kutokana na kwamba alikua mbali
Ikapita muda bila mawasiliano, siku ya siku napokea simu simu no ngeni kupokea ni yeye ananiambia amerudi bongo. Sahiyo yuko Dom mimi Arusha
Chatting za hapa na pale nikampotezea tena, miezi kadhaa kupita ananiambia amehamia Arusha kikazi
Japo tulikua mkoa mmoja ila miezi miwili baadae ndipo tukaonana kwa mara ya kwanza
Akaingiza ngonjera tena kiasi nikawa nimekubali kama sijakubali hivi
Kaka wawatu alikua mstaarabu na mtu poa sana ila kwa ubwege wangu sikumrudishia upendo alionionyesha nikaishia kutesa hisia zake
Sasa ameoa mimi nipo tu nazurura kama mbuzi aliekosa mchunga[emoji86]
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Endelea kupumzika kwa amani mke mwenza..!!