Ilikuwaje baada ya kupata mpenzi mtandaoni?

Mzee Saliboko

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2018
Posts
1,325
Reaction score
1,034
Hakuna sehemu maalum ya kupata mchumba au mke wa maisha.

Hoja sio hiyo bali ilikuwaje ulipompata mchumba kupitia mtandaoni?

Hasa mlipokubaliana mkutane kwa mara ya kwanza na kumpeleka ulipopanga chumba chako au kwenye nyumba yako nk?

Tupeane experience lolote laweza kutokea tukiwa hai.
 
Nakumbuka 2016, nlipost picha fb kweny kureply comment Kuna mwana nlimpa contact zangu Kuna mdada akachukua zle contact akanipigia the way anavojieleza nkawa simuelewi lkn yeye akawa anaendelea kunicheki

Kwa wakati huo hali yangu ya afya kidogo ilidorora, sasa ktk kupiga story na yule mdada nkamwambia hali yangu akawa ananiombea kinoma yaan yue mdada hata lisaa Moja na nusu anaomba hachoki na haishiwi maneno, mwanzon nlikuwa simuamini sana lkn nkagundua yupo serious sana, nkamuomba aje kunitembelea, akanambia jpili baada ya ibada nakuja.

Jpili mchana nkaenda stendi kumpokea, nkamchukua chaliangu moja nkampa simu yangu nkamwambia mi ntajificha we wasiliana na huyu mtu then mpokee mimi ntaangalia kama ni mama kalii tumpeleke geto kama haeleweki tumkimbie... mama ilikua ya kawaida sio kalii sana pia sio mbovu ila nkataka.

Nikampanga yule jamaa aliempokea abadilishe uelekeo demu asifike geto tumpeleke sehem tukae nae then tumrudishe la haulaaa jamaa kagoma kbs akampeleka geto kufika demu hata hakatai kaingia ndani nkamwachia jamaa amtafune mi sitaki aisee Dem kagoma anantaka mm 😁nikakaza siingii ndani wakati huo Dem kakaaa kitandan kwangu.

Jion ya siku hyo akanipigia akawa anataka kunipeleka hospital kutokana na hali ya afya kanambia tuende Seliani nkamwambia nshaenda sana, nlikataaa sana offer zake baada ya kama miezi mitatu akapunguza mazoea kbs, siku hyo tulienda ibada usharika wa town nkamkuta ndo walikua kama ya mapokezi, aliniharibia ibada 😁

Nlikwepa sana kudate nae ila yy alikua na tayar alitaka kutoa hata Hela zake.
 
Mhhh
 
ulikua unaumwa 😎
 
Sababu ya kumkwepa?
Ule utayar wake ulinipa wasi wasi sana, mtu simjui vzr lkn anatumia energy kubwa kutaka tuwe na mahusiano.
Ni mengi sana yule mdada aliyafanya nkawa namkwepa, nliwaza huenda hata katumwa na watu wabaya huko
 
Tuliwasiliana alinitumia friend request nikacheki baadhi ya watu anaowajua nami nawajua nikakubali urafiki wake, tukaanza kuchat kwa msg, akatupia maneno,baadae tukaanza kupigiana sm ,tukatumiana picha,tukawa tunaongea mpaka usiku wa manane,akafika napokaa tukaonana face to face, after four months akanitolea posa ikawa engagement,ikawa kitchen party.ikawa pre wedding party!/send off ikawa ndoa kanisani all of this ndani ya miezi nane.God is good we are happy viugomvi vipo vya hapa na pale but vinajadiliwa vinaisha we keep moving n smiling...so it is possible to meet husband or wife via mitandao...
 
Back
Top Bottom