jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,243
Watu mna maumivu Magu amewakomeshaMada iliyopo mezani ni unafiki wa viongozi wa kisiasa. That is a fact.
Magufuli ni kiongozi wa kisiasa. That is a fact.
Magufuli ni mnafiki. That is a fact.
Let's talk facts.
nafikiri ujumbe umefika , standard zako zinatia mashaka na kinyaa, wengi wanaandika uharo lakini kwa vile wanakubaliana na wewe unawaacha, ila wale wanaokupinga ndio Ignore list inawahusu , hiyo ni double standardsSina tatizo na kuina na kusikia nisiyokubaliana nayo.
Mwaka huu nimetoka kusoma kitabu cha Ben Shapiro, mhafidhina ambaye sikubaliani naye.
Natafuta mawazo yenye mantiki ya watu nisiokubakiana nao.
Hilo halimaanishi nikubali kuharishiwa uharo wowote ule usio na breki, mantiki wala maudhui kwa kuogopa kuambiwa sitaki kuona na kusikia mawazo yaliyo tofauti na yangu.
I have standards.
Magufuli kaipa familia yangu nyumba ya dola za Kimarekani milioni tatu hapo Oysterbay Dar es salaam.Watu mna maumivu Magu amewakomesha
Na bado mlizoea vya kunyonga
Huwezi kunichagulia nani nimsome na nani nimpeleke ignore list.nafikiri ujumbe umefika , standard zako zinatia mashaka na kinyaa, wengi wanaandika uharo lakini kwa vile wanakubaliana na wewe unawaacha, ila wale wanaokupinga ndio Ignore list inawahusu , hiyo ni double standards
Kila siku hizo story za kupewa nyumba na kuishi marekaniMagufuli kaipa familia yangu nyumba ya dola za Kimarekani milioni tatu hapo Oysterbay Dar es salaam.
Mimi nipo Marekani tangu Kikwete hajawa rais.
Maumivu ya Magufuli naanza kuyasikilizia wapi hapo?
Mimi kama ningekuwa mtu wa kuangalia mambo ya binafsi, ningetakiwa kumuimbia sifa sana Magufuli kwa jinsi alivyoifaidisha familia yangu.
Lakini, naangalia principles.
Wewe binafsi na familia yako, ukiacha habari za kitaifa, Magufuli kawafaidisha vipi?
Wote wanafiki tu.
Magufuli kajinadi kupambana na rushwa wakati kamuhonga hawara wake nyumba ya serikali.
Umeshindwa hoja, unaleta viroja.Kiranga kwa baadhi ya maeneo ni shetani huyu jamaa huwa haamini kuwa kuna Mungu huwa anamuabudu shetani ni kiranga haswa haswa
Sijajadili mpenzi wa Magufuli.Unakotokea ndo hukujui na unakokwenda hapajulikani,
Ukitaka kujadili mpenzi wa Magufuli lete uzi wake na sio kurukia tu, au alikunyang'anya huyo dem?
Asante mkuu.Hapa ambaye hana hija ni mtoa mada,anajua fika Magufuli na Kagame wote ni wanasiasa maana yake ni kuwa wote ni wanafiki,hamna mwanasiasa wa kiafrika asiye mnafiki labda kwa wenzetu huko majuu.
Cha ajabu kabisa anamlaumu moja wao huku anajua fika wote wanatabia zinazoendana.
Atakuwa analoweshwa huyoUngefungua Uzi wako hii haihusiani na mada iliyopo mezani
Nahisi alinyanganywa mwanamke na MaguUnakotokea ndo hukujui na unakokwenda hapajulikani,
Ukitaka kujadili mpenzi wa Magufuli lete uzi wake na sio kurukia tu, au alikunyang'anya huyo dem?