Ilikuchukua muda gani kumfukuzia hadi akakupa?

Ilikuchukua muda gani kumfukuzia hadi akakupa?

Salaam sana wana JF! Jana kuna rafiki yangu kanishangaza sana, aliniambia bado kuna demu anamfukuzia tangu january hadi sasa bado hajapewa penzi. Wao ni out, kumsaidia mahitaji yake ya hapa na pale, mizinga kwa sana, story n.k. Jamaa yangu mwingine kazini alikutana na demu kwenye daladala jumamosi halafu jana kaniambia katoka kula mzigo wa dada huyo jana, jumatanao; yaani siku nne tu. Kwa nini tofauti hivi? Mwanaume, mwanamke tutafute wastani sasa. Ilikuchukua muda gani tangu kufahamiana na mtu wako hadi kufanya nae tendo (mapenzi/sex) la kwanza? Maana wengine wanasema siku hizi mjini tunamalizana leo leo tu.
Mkuu kwenye hiyo huduma ni pesa yako tu ndani ya dakika sifuri umeshajitwisha mzigo. Kupoteza muda ni swagga tu.
 
hainaga formula mazee
sometimes unapewa mzigo then baada ya wk unatongoza
 
Tulikuwa marafiki kwa miezi mitatu huku tukipiga story za hapa na pale bila kutongozana, ikaja kpind akamwagwa na bf wake nami nikajtahd kumshauri nini akifanye wakati huo.
Kuna siku nimeenda kumtembele kwake tukawa tunapipa story tu za hapa na pale kuhusu mahusiano na urafiki ghafla nikajikuta nipo kitandani kwake kifua wazi nimefunikwa taulo sikujua kilichoendelea.
Kesho yake nikapata text ikisomeka "K..., mwenzio nimeshindwa kukuvumilia naomba nikuambie tu nakupenda naomba uokoe moyo na nafsi yangu inayoteseka...."

k kifupi cha jina au ndo tusi letu lile la uswazi kwa msagasumu.
 
32411_310243622419292_27291022_a.jpg

Hahahahaha za miaka ya 90 hizo style mkuu,siku hiz mtu unatongoza mnaangaliana usoni huku macho ya dem yanakuuliza unataka saa ngapi??
 
Ukiwa na mkwanja mnene ni wewe tu uamue muda mkuu.

Binafsi nikiona wiki inakata bado napigwa sound uwa najifanya kama kupoteza hivi au naamia kwingine completely.

Ila most of the time wakiona kimya uwa wanajirudi kwa kasi na ku-spread legs kiulaini (if u know what I mean).

Baada ya hapo protocal inazingatiwa, ile ya "HIT N' QUIT"
 
hapana muda maalumu, but me nikumbukavyo muda mrefu nilikuwa nachukua kwa wasichana niliowatoa bikra. Miezi miwili, miaka miwili, huyu wa kuonana naye leo unamaliza leo, inaonesha kwanza kati yao hamna anayethamini mwili wake. Huwezi kuonana na mimi leo and then nianze relationship, hapana mwili ni hekalu la Mungu hupaswi kufanya vile utakavyo, smtimes tunahitaji kutofuata tamaa za mwili....eboo! tamaa mbele...

:juggle:
 
God is watching you
Ukiwa na mkwanja mnene ni wewe tu uamue muda mkuu.

Binafsi nikiona wiki inakata bado napigwa sound uwa najifanya kama kupoteza hivi au naamia kwingine completely.

Ila most of the time wakiona kimya uwa wanajirudi kwa kasi na ku-spread legs kiulaini (if u know what I mean).

Baada ya hapo protocal inazingatiwa, ile ya "HIT N' QUIT"
 
Its a childish and silly story :A S embarassed:
 
Back
Top Bottom