Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 57,240
- 90,297
Hawa watu wawili sijui waliwezaje kuwadanganya na kuwalagahi mamilioni ya Wamarekani kuweza kuwaamini!
Ahadi zote kubwa kubwa Trump alizowaahidi Wamarekani hadi wakamchagua kwa kishindo hajatekeleza hata moja na zaidi sana ameenda kinyume chake na hakuna maelezo yoyote anayowapa Wamarekani zaidi ya kuwafokea na kuwafanyia gaslighting. Sasa ameiingiza hadi sehemu kubwa ya duni katika vita vya kipumbavu.
Elon Musk aliyejitamba kununua Twitter kuifanya huru sasa ni uchafu mtupu na habari zote ambazo hazipendi kama vita ya Iran anabinya taarifa zake. Alikuwa anajidai mwanaharakati wa kupinga ufisadi Marekani kupitia DOGE yake ila sasa hivi ameuchuna kama kobe ufisadi wa Trump na viongozi wa serikali yake mfank huyu mwanamama waziri wa mambo ya ndani na usalama, Kristi Noem aliyepiga zaidi dola milioni 200 kwa tenda za matangazo uchwara ya TV na pia kutumia ofisi ya umma vibaya na hawara wake.
Kuna namna fulani akili za wazungu wa Marekani haziwatoshi kuwaamini watu wa hovyo kama Hawa.