Ilikua mwaka 1979

CleverKING

JF-Expert Member
Apr 24, 2014
8,502
25,469
Screenshot_2017-05-03-09-21-12.jpg
Screenshot_2017-05-03-09-20-25.jpg
 
Kwani ya leo ni rahisi kupatikana?! . Hii ya leo imeshushwa na uchumi unaokuwa kisiasa na si kiuhalisia.

Nakumbuka miaka nikiwa shule ya msingi 1973 Mwl akinituma kumnunulia nyama buchani kilo shs 1.70 mchanganyiko na steki shs. 2.50, lakini leo shs 6000/= mpaka 9000/=.
Mh...mkuu nakupa heshima...we ni wa zamani
 
Kwani ya leo ni rahisi kupatikana?! . Hii ya leo imeshushwa na uchumi unaokuwa kisiasa na si kiuhalisia.

Nakumbuka miaka nikiwa shule ya msingi 1973 Mwl akinituma kumnunulia nyama buchani kilo shs 1.70 mchanganyiko na steki shs. 2.50, lakini leo shs 6000/= mpaka 9000/=.
Heshima yako Mkuu.
 
Kwani ya leo ni rahisi kupatikana?! . Hii ya leo imeshushwa na uchumi unaokuwa kisiasa na si kiuhalisia.

Nakumbuka miaka nikiwa shule ya msingi 1973 Mwl akinituma kumnunulia nyama buchani kilo shs 1.70 mchanganyiko na steki shs. 2.50, lakini leo shs 6000/= mpaka 9000/=.[/QUOTUkienda shule mzazi anakupa shs.1/- na jioni akirudi anakuuliza change iko wapi!!! Hapo shule umekula senti 50/- na imebaki senti 50/- tulikuwa tunaiita thumni.
 
Malipo TZS 12/= halafu tickect imeandikwa please check your ticket and change before leaving! Sijui nini kiliipata shilingi ya Tanzania.
Kipindi kile import zilikuwa kodogo. Kwa hiyo kulikuwa na mahitaji madogo ya fedha za kigeni tofauti na sasa mahitaji ya pesa za kigeni yamekuwa makubwa mno ndio maana exch rate ina favour pesa za kigeni...
 
Kwani ya leo ni rahisi kupatikana?! . Hii ya leo imeshushwa na uchumi unaokuwa kisiasa na si kiuhalisia.

Nakumbuka miaka nikiwa shule ya msingi 1973 Mwl akinituma kumnunulia nyama buchani kilo shs 1.70 mchanganyiko na steki shs. 2.50, lakini leo shs 6000/= mpaka 9000/=.
duh. shikamo. i hope ushastaaf km ulikua serekalin.
 
Dah! Ndiyo nahitimu darasa la saba mimi nakumbuka huku kwetu Liberty cinema tulikuwa tunapelekwa huko na mshua chini ya uangalizi maalum ahsante mkuu umetukumbusha enzi zetu
 
Back
Top Bottom