Criss
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 1,959
- 3,164
Ila we jamaa bhana aisee ,unandoto nyevu sana 🤣🤣Unfortunately haifi sasa.
Fungua kichwa , hujifunzi kitu pale unapoona jeshi linasupport waandamanaji ili watekeleze wanachokitakeleza huku police wakidhibitiwa kutokuwashanbulia , hiyo haikupi picture kuwa ngoma ishalala hiyo ?
Jambo la pili nikwamba hapo jeshi halitalegeza tena kwasababu wanajua wakilegeza wengi watapoteza kazi kwa kuruhusu hilo kosa ,hiyo maana yake nikwamba Ngoma hapo afe beki afe kipa , Maza kwaheri na sheria zenye maslahi mapana ya Taifa ndani ,hapo CCM yako bado unaiona?
Amka