Ili ni jaribu au kawaida? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ili ni jaribu au kawaida?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by funzadume, Dec 17, 2010.

 1. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,481
  Likes Received: 2,082
  Trophy Points: 280
  Jamani nimepata jaribu moja hapa oficn mpaka sasa ubongo ume-seize kuelewa kilichotokea, kuna mdada mmoja (mke wa mtu) jana tulienda nae kula (sikumtoa) ilitokea tu tumeenda muda mmoja na tukakaa meza moja, wakati tumeagiza chakula mimi niliagiza wali na samaki kibuha naye aliagiza ndizi nyama, tukiwa tunakula huku tunaendelea na story nilimkaribisha samaki aonje akachukua kipande kidogo akala ila alisema kuwa akila samaki kibuha uwa anavimba (ana allergy)

  sasa issue imetokea leo asubuhi ambapo yule dada amekuja ofisini kwangu na kunieleza kuwa yule samaki aliyekula amemletea uvimbe flani kama katembelewa na washawasha nikamuuliza mbona huko fresh tu nikikuangalia si ndio akasema ngoja nikuonyeshe akapandisha sketi juu mpaka chupi naiona na kunionyesha uvimbe ule eneo la mapajani mpaka usawa wa chupi, nilipigwa na butwaa kama nimeganda kwenye barafu wakati yule mdada wala wasiwasi hana

  Yaani alikuwa ananionyesha haswa juu juu karibu na chupi ambako nilikuwa naona mpaka nywele za ukubwa (mafovuzi) zile zilizotoka nje ya K pembeni ya mapaja baada ya chupi.

  Ninakumbuka nilichosema ni kumwambia pole na huku nikiwa nimeduwaa macho yote mapajani wakati yeye anaonyesha huku akielezea jinsi anavyoteseka kwani yale mauvimbe yanakuwa kama yanamuwasha

  Baadae nilipopata akili nikamwambia hivi mtu akiingia hapa si atatuelewa vibaya akauliza kivipi? nikamwambia jinsi ulivyokaa wazi, akajibu kila mtu humu ofcn anaajiriwa akiwa above 18 yrs so hamna jipya hapo. Alipotoka nikaona ngoja nipost hii issue watu mtoe ushauri wenu kama ndio nategwa au ni hali ya kawaida tu?
   
 2. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Tutajie jina la ofisi tujidhirishe na hii hadithi hadithy.
   
 3. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,481
  Likes Received: 2,082
  Trophy Points: 280
  sio ikulu
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  uo uvimbe unamuwasha?labda umsaidie kukuna..
  b gntlman mchukue mpeleke hospital au jd famasi akapate dawa ya kupaka.
  ANAKUTAKA UYO.
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Dec 17, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  DUh unge test kupashika shika hivi uone reaction yake KAKA hahahha
   
 6. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #6
  Dec 17, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,481
  Likes Received: 2,082
  Trophy Points: 280
  sasa nitampeleka vp hospitali wakati ni mke wa mtu maana nimechanganyikiwa na kujiuliza alikuwa ana nia gani sijui. Imenistua sana kwa kuwa sikutegemea kitu kama hicho kabisa kutoka kwa yule dada
   
 7. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #7
  Dec 17, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,481
  Likes Received: 2,082
  Trophy Points: 280
  duh kweli mzee, ila hiyo akili haikuwepo kabisa nilikuwa kama nime seize hivi
   
 8. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #8
  Dec 17, 2010
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Sasa unashangaa nini wewe hujui k ????
   
 9. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #9
  Dec 17, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,481
  Likes Received: 2,082
  Trophy Points: 280
  kwani ukiijua ndio uishangai na kwa taarifa yako K ya kila m/mke inatofautiana na hata shepu zao so kushangaa ni muhimu sana au sio mkuu
   
 10. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #10
  Dec 17, 2010
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Sasa sisi unataka tukuambie nini kama amekuonyesha k na wewe umeshindwa kumkuna basi wewe hanidhi au?
   
 11. chiko

  chiko JF-Expert Member

  #11
  Dec 17, 2010
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hospitali ya nini!, nae huyu jamaa anayo dawa!!!!!
   
 12. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #12
  Dec 17, 2010
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  ha ha ha ha, k ni k tuu, na lazima UIKODOLEE bigtym. we usifanye mchezo na k wewe,
   
 13. MJINI CHAI

  MJINI CHAI JF-Expert Member

  #13
  Dec 17, 2010
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 587
  Trophy Points: 280
  huko ni kutegwa na inaonekana umeshanaswa subiri uchinjwe tuuu ha.ha.haaa...haaaaaaaa
   
 14. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #14
  Dec 17, 2010
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  tatizo miofisi ya siku hizi full viooo,
   
 15. b

  bob giza JF-Expert Member

  #15
  Dec 17, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi bwana huwa nawashangaa sana watu kama nyinyi..yaani umekuja kuuliza hapa../mi nilitegemea ulete results hapa, yaani kama ushafanya research na umekuja kupresent findings hapa..huyo kulaa..kula fasta kudadadeki..ningekuwa mm ningekula fasta..hapo aliponifunulia ningemshika shika huku namuuliza je panawasha... huku namsikilizia reaction..kifuatacho ni appointment na baada ya kazi namaliza gemu then kesho yake kama hatujuani vile...demu akishakutaka hata ukijifanya unampotezea ataendelea tuu kuja na kuna siku anawezafanya kioja watu wakadhani mu wapenzi kumbe wee ulikuwa unajitahidi kumkwepa..lakini ukishamla heshima mbele..akileta za kuleta unamkaukia..mkishavuana nguo mambo huwa yanabadilika sana..sasa nilitegemea useme akanifunulia..nikamshika..akaguna guna..nikaenda kumla baada ya kazi..na sasa nimemaliza naelekea home, hapo ningekugongea thanks..lakini kwa sasa go back kamalizie kazi uloianza ..you got job to do hommie!!am out!
   
 16. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #16
  Dec 17, 2010
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  posible
   
 17. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #17
  Dec 17, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,481
  Likes Received: 2,082
  Trophy Points: 280
  nimekugongea senksi mzee ngoja leo tena nikamlishe samaki mwingine uenda zoezi likajirudia aaaaagh too late ngoja nimwone atakuja na style ipi nyingine
   
 18. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #18
  Dec 17, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,481
  Likes Received: 2,082
  Trophy Points: 280
  mbona unanitusi kaka? :redfaces::redfaces:
   
 19. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #19
  Dec 17, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wewe unamke? kama huna kula kaka hanalolote huyo alikuwa anatafua gear ya kukuingia ambayo tayari kesha maliza kazi yake,
   
 20. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #20
  Dec 17, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,660
  Likes Received: 1,492
  Trophy Points: 280
  hahaha funzadume mi nilijua game lako liko juu ama hana mvuto kiviiile?
   
Loading...