funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,556
- 21,030
Jamani nimepata jaribu moja hapa oficn mpaka sasa ubongo ume-seize kuelewa kilichotokea, kuna mdada mmoja (mke wa mtu) jana tulienda nae kula (sikumtoa) ilitokea tu tumeenda muda mmoja na tukakaa meza moja, wakati tumeagiza chakula mimi niliagiza wali na samaki kibuha naye aliagiza ndizi nyama, tukiwa tunakula huku tunaendelea na story nilimkaribisha samaki aonje akachukua kipande kidogo akala ila alisema kuwa akila samaki kibuha uwa anavimba (ana allergy)
sasa issue imetokea leo asubuhi ambapo yule dada amekuja ofisini kwangu na kunieleza kuwa yule samaki aliyekula amemletea uvimbe flani kama katembelewa na washawasha nikamuuliza mbona huko fresh tu nikikuangalia si ndio akasema ngoja nikuonyeshe akapandisha sketi juu mpaka chupi naiona na kunionyesha uvimbe ule eneo la mapajani mpaka usawa wa chupi, nilipigwa na butwaa kama nimeganda kwenye barafu wakati yule mdada wala wasiwasi hana
Yaani alikuwa ananionyesha haswa juu juu karibu na chupi ambako nilikuwa naona mpaka nywele za ukubwa (mafovuzi) zile zilizotoka nje ya K pembeni ya mapaja baada ya chupi.
Ninakumbuka nilichosema ni kumwambia pole na huku nikiwa nimeduwaa macho yote mapajani wakati yeye anaonyesha huku akielezea jinsi anavyoteseka kwani yale mauvimbe yanakuwa kama yanamuwasha
Baadae nilipopata akili nikamwambia hivi mtu akiingia hapa si atatuelewa vibaya akauliza kivipi? nikamwambia jinsi ulivyokaa wazi, akajibu kila mtu humu ofcn anaajiriwa akiwa above 18 yrs so hamna jipya hapo. Alipotoka nikaona ngoja nipost hii issue watu mtoe ushauri wenu kama ndio nategwa au ni hali ya kawaida tu?