Ili ni jaribu au kawaida?

achana naye, hana adabu huyo dada anazalilisha sana wanaweke, aliolewa ya nini kama bado anataka wanaume wengine? alafu chunga sana kijana uwezu jua hiyo ndiyo tabia yake, ameshapita offisi ngapi? aliwafunulia wangapi? iwezakuwa mgonjwa huyo?!! anataka akusambazie wadudu
kuwa makini, wanawake wapo tena wengi ambao siyo wake za watu ((KUMBUKA MWENZIO ALINASA??))
nachanganya na za kwangu hapa
 
hivi katerelo na chumvini inahitaji dhana? maana nataka kama akikubali ku-do namfanyia mafujo yote hayo

Hiyo ngumu lakini uwe na mouth wash pembeni maana hata haujui usafi wake... fanya katerero/katerelo sijui usiende chumvini nakusihi
 
kila m/ume ni dhaifu mbele ya mwanamke ndio maana kwenye bible kuna yule jamaa ambaye siri ya nguvu zake ilikuwa ni nywele ila mkewe alimbana akatoa siri watu wakamnyoa so historically w/ume ni dhaifu kwa w/wake
Kwahiyo unataka kuhalalisha udhaifu wako kwa kutumia mfano wa Samson na Delilah?
 
Hiyo ngumu lakini uwe na mouth wash pembeni maana hata haujui usafi wake... fanya katerero/katerelo sijui usiende chumvini nakusihi
kweli unanitakia mema nitaishia kwenye katerelo tu ila mpk akubali kwanza ila najua yule kuna kitu anakitaka na hapa kwangu atakipata tu sema alipokuja pale asubuhi nilipatwa na mshtuko mpk nikashindwa kuchukua maamuzi ya haraka sikutegemea kabisa
 
kesha kupa gia ya kumtokea...chakachua tu wewe.
omba kwenda kumkuna...hawezi kataaa...
 
Huyo dada ni muongo, yeye kama alijua ana allegy na samaki kwa nini ale? Swali kwako Funzadume ulivyomuangalia huyo mke wa mtu ni kweli amekuwa affected na huyo samaki au zilikuwa ni mbwembwe tu? Mwisho, huyo mke wa mtu anakutega maana angeweza tu kutoa maelezo na akaeleweka tofauti na lugha aliyoitumia ofisin hapo ambayo inaweza ikamletea matokeo mawili:-

  1. Kama wewe ni fisi maji basi utafurahia sana na nadhani hutauachia mfupa huo kwa sababu unajua hauna pingamizi ni wa kuukota tu.
  2. Kama ulikuwa upo neutral, yaani hukuwahi kuwaza kumtongoza wala kutomtongoza atakuwa amekupa lindi la mawazo ukizingatia yeye ni mke wa mtu.
NI MTAZAMO TU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom