Ili ni jaribu au kawaida?

sasa nitampeleka vp hospitali wakati ni mke wa mtu maana nimechanganyikiwa na kujiuliza alikuwa ana nia gani sijui. Imenistua sana kwa kuwa sikutegemea kitu kama hicho kabisa kutoka kwa yule dada

kwan mke wa mtu apelekek hosptal?
sa utamfanyaje wakat we ndo chanzo cha alej ya leo?
 
wewe unamke? kama huna kula kaka hanalolote huyo alikuwa anatafua gear ya kukuingia ambayo tayari kesha maliza kazi yake,


Hapana mwaya, vishinde vishawishi hivo, mke wa mtu/mume wa mtu sumu.
Labda kama umechakugua maisha hayo, lakini kama hujachagua, kimbia kabisa.
 
kwan mke wa mtu apelekek hosptal?
sa utamfanyaje wakat we ndo chanzo cha alej ya leo?
nimekumbuka kuwa dawa ya allergy ya kuvimba vimba unapaka majivu, ngoja nimtwangie extension yake nimwambie nimepata dawa ili nione mwisho wake maana naona kama ataniona jisu butu bure wakati mie ni mkare kuliko Topaz
 
How old are you? Mwanamke akikutaka anaweza kufanya chochote kitachoatract attention kwamba mzigo unatakiwa. Sasa unashangaa nini? Ndio majaribu ya kukutaka na nina uhakika utapiga mzigo tu. Kila la heri
 
uo uvimbe unamuwasha?labda umsaidie kukuna..
b gntlman mchukue mpeleke hospital au jd famasi akapate dawa ya kupaka.
ANAKUTAKA UYO.

we rose acha hizo..ampeleke hospitali?? afu ndo unasema huo ni ugentleman....ugentleman kwa huyo ni kumpa kitu roho inataka..chukua mzigo peleka geto au guest takatisha vya kutosha ..ahakikishe kamkojoza ile ile..baada ya hapo no disturbance..nakuhakikishia huyo demu atakuwa akimuona jamaa anaangalia chini kwa aibu..i wish ningekuwa jamaa haki ya nani demu angenijua huyo...wengine mi ofisi yetu full udume yaani aagghh!!
 
aisee me nakushauri uwe makini sana nae maana waweza kujipa 100% kua anakutaka kumbe mwenzako hata wazo hakua nalo.we potezea tu, don't make a move on her.wengine ndivyo walivyolelewa.kuonesha chupi sio ishu kwao.sasa wawezajipa uhakika anakutaka then ukiomba appointment ukashangaa anakushushua kuliko mpaka ukaiona ofisi chungu
 
Watch ur step tamaa zako ndo zitakuponza yote ni yote mke wa mtu ni sumu.Think Big life is too short do your best and God be the first
 
achana naye, hana adabu huyo dada anazalilisha sana wanaweke, aliolewa ya nini kama bado anataka wanaume wengine? alafu chunga sana kijana uwezu jua hiyo ndiyo tabia yake, ameshapita offisi ngapi? aliwafunulia wangapi? iwezakuwa mgonjwa huyo?!! anataka akusambazie wadudu
kuwa makini, wanawake wapo tena wengi ambao siyo wake za watu ((KUMBUKA MWENZIO ALINASA??))
 
ngoja na mimi nimalizie sehemu yangu sasa maana yeye kalianzisha na mie natakiwe nimalizie

HAyo ndo maneno FD malizia kazi bana si kurembesha.......uvae zana lakini usinanihii kavukavu
 
How old are you? Mwanamke akikutaka anaweza kufanya chochote kitachoatract attention kwamba mzigo unatakiwa. Sasa unashangaa nini? Ndio majaribu ya kukutaka na nina uhakika utapiga mzigo tu. Kila la heri
kaka itabidi nipige mzigo kwa heshima yako
 
kilichokufanya usizi ni kipi haswaa? Kipele au? Udhaifu tu huna lolote
kila m/ume ni dhaifu mbele ya mwanamke ndio maana kwenye bible kuna yule jamaa ambaye siri ya nguvu zake ilikuwa ni nywele ila mkewe alimbana akatoa siri watu wakamnyoa so historically w/ume ni dhaifu kwa w/wake
 
HAyo ndo maneno FD malizia kazi bana si kurembesha.......uvae zana lakini usinanihii kavukavu
hivi katerelo na chumvini inahitaji dhana? maana nataka kama akikubali ku-do namfanyia mafujo yote hayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom