Ili mafunzo yanayo itwa ya Ujasiriamali yafanikiwe lazima mtu kuikana nafisi.

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,915
Kumekuwa na mafunzo kila kona na watu wanafunimdishwa ujasiriamali kwa mujibu wa wafundishaji.

Ila Ujasiriamali wenyewe sijui unaweza ku eveluate vipi kwamba sasa huyu kawa mjasiriamali.

Ili kuwa Mjasiriamali kuna mambo unapaswa kuyakana, Lazima kuikana hali ulio nayo sasa.

Mfano UOGA hakuna chuoa cha kutoa UOGA ila ni wewe mwenyewe kuukana na kuuchukia UOGA au HOFU.

huwezi ukafundishwa kutoa HOFU.

So lazima kuchukia mazingira fulani kutoka moyoni mwako. Lazima kukana hali ulio nayo

MFANO
Enzi za Mafunzo ya kuzuia ukimwi na kumbuka tulikuwa tunawekewa mikanda ya watu wamekonda na wengine wamekufa.

Baada ya move siku kama 10 za mwanzo hakuna alie kuwa ana thubutu kufanya ngono watu waliogopa sana ila baada ya kama mwezi hivi hali ilikuwa inarudia kama zamani.

KWA NINI?

Kwa sababu hakuna alie kuwa tiyari kuikataa ngono zembe kutoka moyoni hakuna alie ikana.

Wale Madada poa sijui na Makaka poa wale hawawezi acha ile kazi au tabia kwa kuwekewa semina bali kwa wao kukana vile vitendo kutoka moyoni mwao.

Dada poa anaweza acha tu kwa yeye kukichukia sana kile kitendo na kuamua kuacha. Ila hawezi acha kwa kupewa semina.

Basi mafunzo ya Ujasiriamali ni kazi bure kama wale watu hakuna hata mmoja anaye amua kukana hali fulani na kuingia hali fulani.

Kuja vyuoa vinatoa Degree za Entrepreneurship ila watafute wale wanafunzi baada ya kuhitimu. utawakuta wanatafuta kazi na walisomea Ujasiriamali.

Wanatafuta kwa sababu pale hakuna alie kuwa tiyari kutoka moyoni kufanya ujasiriamali.

MUHIMU SIO MAFUNZO MUHIMU NI JE NANI ANAIKANA HALI ALIO KUWA NAYO?

Nani anaukana kutoka moyoni umasikini?
 
Ujasiriamali wa kwenye semina ni tofauti sana na ujasiriamali halisi wenyewe. Kwenye semina unakuta wanadanganya watu tu.

Ujasiriamali haufundishwi bali inabidi mtu kuingia uwanjani mwenyewe bila kufundishwa.

Ukifanya ujasiriamali kwa mbinu wanazofundusha kwenye semina. Hakika hautaki mbali hata siku moja.
Utaishia kulalama tu.
 
Back
Top Bottom