Ili kukomesha michepuko nini kifanyike?

Ili kukomesha michepuko nini kifanyike?

Marconho

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
287
Reaction score
445
Wakuu,

Michepuko imeshika kasi sana na linazidi kushika kasi kadri muda unavyosonga mbele,
nini kifanyike kati ya haya;

1. Wanaume waache tongoza tongoza hovyo

2.Wanawake kuwa na misimamo ya kukataa kutongozwa bila ile ya hali ya sitaki nataka. Kuna baadhi hukubali kuachia mambo kisa eti wanasumbuliwa muda mrefu.
 
mi nikimshika mtu na mume wangu namtoa kinyama
na huyo mwanaume ataeleza vizuri

Dawa ni kuwa mbabe
michepuko kwa stahili ya kipole pole kama uloyoitaja haiiishi

nyumbani siondoki lakini huyo mwanamke nitamfunza namna ya kuacha waume za watu
na mume wangu nikigundua ana cheat kwa vizibitisho hataisahau hiyo siku
 
ongezea nyama kwa point ya 1 haijaeleweka
 
Michepuko ilikuwepo toka enzi na enzi zamani iliitwa masulia toka kwenye bible.
 
mi nikimshika mtu na mume wangu namtoa kinyama
na huyo mwanaume ataeleza vizuri

Dawa ni kuwa mbabe
michepuko kwa stahili ya kipole pole kama uloyoitaja haiiishi

nyumbani siondoki lakini huyo mwanamke nitamfunza namna ya kuacha waume za watu
na mume wangu nikigundua ana cheat kwa vizibitisho hataisahau hiyo siku

Umeongea kishujaa hapa lkn cjui km utawezaa kuyatendeaa haki maneno yk?
 
Me nadhani kwa upande wa wanandoa......serikali ingefanyia marekebisho sheria ya ndoa ..........hii sheria iwekwe kipengere cha fine kali pale itakapothibitika mtu anatoka na mke au mume wa mtu wa ndoa.........fine kama M5 hivi kwa fumanizi sio mbaya.......na isimamiwe vizuri........tutaona kama watu hawatabaki njia kuu.......maana hawa mabwege wa kwenye ndoa ndio wanaosukuma gurudumu la michepuko.............!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom