Wasomi ndani ya jeshi la polisi weledi wa kielimu, ukweli na kuaminika kuelekea dira ya taifa 2050 kuleta imani kwa wawekezaji kuwa kuna utawala bora unaozingatia ukweli na haki :
08 October 2025
Mahakama Kuu ya
Tanzania
Kivukoni Front
Dar es Salaam
Kesi ya uhaini 19605 /2025 Republic vs Tundu Lissu @ High Court of Tanzania
View: https://m.youtube.com/watch?v=eR_yRnz5JV8
Shahidi namba 1 wa serikali kwenye kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, Assistant commissioner of Police (ACP) George Bagyemu msomi mwenye master's degree ambaye ni Msaidizi wa Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Faustine Mafwele ameiambia mahakama kuu kuwa hakuna kesi yoyote ya kisiasa aliyoifungua (kuipeleleza) halafu mshtakiwa akakutwa na hatia.
Ya Dokta Slaa ilifutwa, ya Lembeli ilifutwa na ya Heche alipokuwa Mwenyekiti wa Bavicha ilifutwa..
On cross examination, Assistant commissioner of Police (ACP) George Bagyemu seems to have limited knowledge of Tanzanian criminal reports and current affairs ..
23 June 2021 Mr Lissu launched his book titled Remaining in the Shadows – Parliament and Accountability in East Africa...

Part 3: SHAHIDI AVUKA MIPAKA AMDHARAU LISSU MBOWE NI BORA KULIKO WEWE LISSU AMSHUGHULIKIA IPASAVYO