Ile unaingia tu chumbani alipolala mwanao

Wazazi tunajua, unaweza sababisha madhara labda huyu wa 'USA baby' lkn wa jiji letu pendwa na joto lile utakuta kamefurukuta kamejiziba pua.
Asante kwa hili na kwa ruhusa yako naomba niibe hakimiliki nikaliseme hili pahala kule kwenye mada ya watoto
 
Nyoka hadhuru watoto hata siku moja labda awe wa kutumwa

Mkuu sidhani kama ni nyoka wote., vipi kuhusu yule nyoka kichaa Black mamba?? niliona video moja anapita akakuta simba kafa lakini akagonga kama mara mbili hivi then akatembea. Sasa kama yule akimkuta mtoto na ametoka kula majani yake ya bangi si anafanya yake then anasepa??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…