Ile sketi Aliyoshuka nayo miss Tanzania Kutoka marekani kiboko.

Af kama anautapiamlo Iv....
Ma models wengi wanakuwaga na tatizo la Aneroxia. It can be aneroxia bulimia or aneroxia nervosa.

Its never easy for them so usione kazi yao ni runways na kuvaa designer clothes.
 
Same here. Title ya Miss Tanzania is huge. Kumbuka kazi yake haijaisha. Ndo inaanza. Kuna kutangaza utalii, kuna movements kama save the child ama ile ya anti FGM. She was not cut for the job.
Nadhani hawakumfundisha namna ya kuongea hasa kwenye media .. me sijamfurahia kabisa
 
Yaani Diana Kwa mavazi Yale? Ni aibu kwa Taifa, utasema ametoka kusindikiza kigodoro mtaa wa pili
Duuuuuu,hatari saana.Mimi najua kwenye vigodoro wengi wanavaa magauni moja hivi hayana shape nzuri kama kanzu vile aaaah wanaita madela na siyo sketi
 
Duuuuuu,hatari saana.Mimi najua kwenye vigodoro wengi wanavaa magauni moja hivi hayana shape nzuri kama kanzu vile aaaah wanaita madela na siyo sketi
Kwa taarifa yako wapo wanaovaa zaidi ya vijora a.k.a Dela
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom