Ile Project ya Coco beach/Oysterbay ilifikia wapi?

Neno zuri umempatia
Hata wengi wa maeneo mengine pia watafaidika sana
Haina manufaa yoyote Hata kwa watu wa masaki,ni upotevu wa hela tu
Ni bora waweke barabara zlizichini ya halmashauri kwenye kiwango cha lami,magari yatakuwa Yana move....

Ova
 
Aiseeeee😀

Kwa hiyo traffic jam ni kwasababu hakuna lami 🙄
Hivi kumbe nyie upinzani midomo mbele ila ubomu mwingi kwanini lakini. eeeeeeeeeeh nacheka mimi eeereeh
Kwa barabara za lami yaani duniani hivyo ni hakuna foleni.. ha ha ha haaaaaaaaa mbavu zangu... 😱 na maeneo hayo yanapita sasa hakuna lami? Eeeeh

NA
Uchafuzi wa hewa je?
 
Katika miradi inayosumbua bongo kuona mantiki ni huo, ni bora hizo fedha wawekeze kwenye maboresho ya junctions au waongeze lane pale salendar bridge mpaka kenyata drive.
 
Nime kumiss mzima mpinzani wetu lkn

Ova
 
Ukienda nchi za watu unapenda kupiga Picha. Acha tujenge nasi
Kwani tunahitaji mapambo ya kupigia picha au flyover zenye kuleta tija, flyover zijengwe ila zijengwe kwa tija na mantiki na sio kwa mihemko. Ili kutatua foleni ya kwenda Masaki na kwingineko njia ya kulelekea Mwenge ni bora hizo pesa wajenge flyover Mwenge, Morocco na vijunction vingine vya kwenda huko Coco, ila kujenga daraja la kwenda coco ni ubinafsi na kuchezea pesa za umma, maana itapunguza foleni kwa watu wachache sana huko lundo la watu wanaolekea Mwenge -Tabata, Mwenge -Tegeta na maeneo mengine ambao ndio wengi hasa wataendelea kusota na foleni ya Morocco na Mwenge.Huu ni ushenzi na aliyetaka kujenga hapo alaanike.Mbona flyover ya Tazara na Ubungo hatuna shida nazo, ni kwa sababu zimejengwa kwenye location zenye uhitaji hasa, na zina tija na zinaleta mantiki!
 
Haina manufaa yoyote Hata kwa watu wa masaki,ni upotevu wa hela tu
Ni bora waweke barabara zlizichini ya halmashauri kwenye kiwango cha lami,magari yatakuwa Yana move....

Ova
Mtaona umuhimu wake likijengwa. Hata daraja la kigamboni mlisema halina maana, sgr nayo mnasema haina maana, hamna mtu atawachukulia serious na mawazo hayo.
 
Ule mradi hata sioni faida zake za moja kwa moja, ni kuchezea pesa tu, bora wakajenge flyover Mwenge au Morocco au Chang'ombe vetenary
dar es salaam inahitaji backbone road via city centre to airport! Say tegeta - mwenge - Morocco salender - bibi Titi - to kamata to airport! Ieleweke hii barabara junction zote ziwe improved na Jiji litakuwa drained na sio kupoteza hela huko baharini
 
Kabisa, kuchezea pesa kule baharini ulikuwa ni uhayawani kabisa.
 
Ule mradi hata sioni faida zake za moja kwa moja, ni kuchezea pesa tu, bora wakajenge flyover Mwenge au Morocco au Chang'ombe vetenary
Serikali imesikiliza ushauri wangu
Dar mpya kujengwa barabara za ngazi saba!

View attachment 692462
Dar mpya inakuja na itakuwa na miundo mbinu kama hii.

Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Abbasi amesema Mwaka huu serikali itakamilisha upembuzi yakinifu kwa ajili ya ujenzi wa barabara saba za juu (flyover) ktk jiji la Dar es Salaam. Barabara hizo zitajengwa ktk maeneo ya Chang’ombe, Uhasibu, Mwenge, Morocco, Kamata, Magomeni na Tabata
 
Sasa wewe hutaki tuwekewe daraja kwa nini?? Tunahitaji daraja ili kupunguza foleni pale kwenye Daraja la Salender pia ujue kuwa itasaidia pia wanaokaa maeneo ya Mwenge, Mbezi Beach, Bunju, Tegeta n.k sasa wewe acha wivu kwa watu wa maeneo hayo!!
View attachment 692462
Dar mpya inakuja na itakuwa na miundo mbinu kama hii.

Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Abbasi amesema Mwaka huu serikali itakamilisha upembuzi yakinifu kwa ajili ya ujenzi wa barabara saba za juu (flyover) ktk jiji la Dar es Salaam. Barabara hizo zitajengwa ktk maeneo ya Chang’ombe, Uhasibu, Mwenge, Morocco, Kamata, Magomeni na Tabata
 
Katika miradi inayosumbua bongo kuona mantiki ni huo, ni bora hizo fedha wawekeze kwenye maboresho ya junctions au waongeze lane pale salendar bridge mpaka kenyata drive.
Si tu unasumbua kuona mantiki, ni hauna mantiki kabisa, alibuni huo mradi akapimwe akili, kweli nawaambia..
 
Back
Top Bottom