Ile Project ya Coco beach/Oysterbay ilifikia wapi?

Ile Project ya Coco beach/Oysterbay ilifikia wapi?

nadhani Baada Ya chama Fulani kushinda u meya wakaamua kupambanisha itikadi
You could be right. Ila mkulu mbona ni wa chama hicho hicho? Hakuisoma picha vizuri?
 
You could be right. Ila mkulu mbona ni wa chama hicho hicho? Hakuisoma picha vizuri?
meya wa jiji ni mlengo mwingine :

+ maswali mengi Ya wengi yalikuwa :why Manji then ndo hypothesis nyingine zikajengwa like : maskini watakosa access
hivyo wakajitokeza watetezi wa maskin ikaonekana hoja yao ina nguvu hivyo maendeleo Ya ufukwe ule siyo muhimu.
kwahiyo sisi maskin tunafaidi cocobeach yetu
 
Habari zenu Wanajamvi.

Eti ile project ya Coco beach/Oysterbay/Kenyatta-Toure Drive imefikia wapi tulioaminishwa na michoro mwanzoni wa 2016? Ilkuwa ikidhaminiwa na Tanzania Investment Bank (TIB). au ilikuwa danganya toto tu?

Ipo kwa mkemia inapimwa mkojo
 
meya wa jiji ni mlengo mwingine :

+ maswali mengi Ya wengi yalikuwa :why Manji then ndo hypothesis nyingine zikajengwa like : maskini watakosa access
Niliyasikia hayo mkuu hata mimi niliona kama kweli manji kauziwa ina maana maskini tusingepata access ya kwenda. Nilipoukuta mradi kwenye vitabu vya TIB nikagundua kuwa siasa ni mbaya. Kumbe mradi haukuwa wa Manji ni wa manispaa. Tena manispaa ingenufaika kwa collections za pale. Siasa mbaya sana.
 
Tz kweli hakuna maono ya kibiashara. Hizi fukwe zote za Dsm, Pwani, Znz/ Pe, Mtwara na Ta, zingekuwa ni vituo vya kitalii cha kimataifa. Wazungu wanasafiri kwenda kwenye visiwa na fukwe mbali mbali hasa sehemu za joto kama hapa kwetu, sisi ni kupiga marufuku kila kitu, au huyu anaruhusu na kufanya ugoigoi mpaka anatoka madarakani mradi haujakamilika, akija mwenzake, amri za marufuku na kupitia upya Miradi zinaanza. Miradi ya maendeleo iwe ni sera za miaka hata 50, sio makubaliano ya rais aliyepo madarakani akiondoka na kila kitu kinasahaulika, iwe ni mwendelezo.
Kwa sasa ni Tanzania ya viwanda tu, mkuu kasema
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Ikisha fanywa hiyo project nitaendelea kwenda kupunga upepo bure kama ilivyo sasa? Au nitaanza kulipia tena kama Hizi zingine za kishua.

Me mlala hoi bana nikitaka kwa kutuliza akili na kupunguza stress za maisha ni nauli yangu tu. Naenda kupata upepo wa bahari buree.
 
Mbona katika mchoro nimeona kama kunasehemu za bure,sidhani kama wote wataweza kulipa bali lazima litengwe eneo la walala hoi kama sisi
 
Jamani kuna tetesi ule mradi wa lile daraja kutoka pale Gykhana hadi Coco Beach umeota mbawa. Tuliatangaziwa kwa mbwembwe kwamba ule maradi unaanza mwaka sasa hakuna kinachoendelea. Nasikia Wakorea wamechomoa kufadhili baada ya kuona jamaa haeleweki. Mradi unaondelea pale kwa sasa ni wakuzuia maji ya bahari yasimong'onyoe ardhi ambao hauhusiana na daraja
 
Miradi ya ovyo kabisa.
Kama ni hela za Wakorea, tungeomba ziende sehemu nyingine.
Lakini aliwazalo jamaa yetu, lazima liwe.
 
Miradi ya ovyo kabisa.
Kama ni hela za Wakorea, tungeomba ziende sehemu nyingine.
Lakini aliwazalo jamaa yetu, lazima liwe.
Ule mradi hauna kichwa wala miguu, lile daraja wanalodai linapunguza umbali ni kwa asilimia ndogo sana, hakiendani na gharama kubwa za ujenzi; ni bora wajenge flyover kwenye majunction ya kwenda huko coco beach
 
Ule mradi hata sioni faida zake za moja kwa moja, ni kuchezea pesa tu, bora wakajenge flyover Mwenge au Morocco au Chang'ombe vetenary
Flyover moroco si watabomoa majengo tena duh....
Mimi naona bora hela hyo ingetumika kutengeneza barabara zilizokuwa chini ya halmashauri ziwekwe lami....zote
Ni kweli ule mradi wa daraja baharini ulikuwa hauna tija yoyote

Ova
 
Unatufaa sisi tunaokaa maeneo ya Obay na Masaki sasa wewe unakaa Tandika utakufaa vipi?? Tuliza msho...!!
 
Back
Top Bottom