Ile nembo ya taifa bibi na bwana

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,597
Reaction score
29,530
Katika nembo yetu ya taifa nimekaa nikaitizama kwa umakini hapo hapo likanijia swali hadi ikanipelekea kuuliza..
Hivi kwenye ile nembo ya yule bibi na bwana je hivi ni kwa nini yule bwana alivishwa gauni badala ya suruali kwani kipindi hicho hakukuwa na suruali??
 
Wewe hujajiuliza mbona huyo mrembo kavaa sare za ccm?

Actually ndio coat of arms pekee duniani yenye watu zote zina wanyama au ndege au silaha.
 
Yule mbunifu angekuwepo tungemuuliza ila hayupo aisee...BTW labda hilo vazi lilikuwa linatumika kipindi hiko kitamaduni
 
Daah! hiyo nembo ni nzuri sana, hongera nyingi kwa mbunifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…