Sasa mwanamke ambaye kukitikea shida ndani ya nyumba,anaona ananyanyasika nakuona a-opt kuwa single mother,mimi nimzuie wanini?Awe single mother wadau wamfakamie kwa uhuru bila hofu yakuwaza kua watakuja kufumaniwa.Mfano huyo aliyetoka kwa mhadhiri,awe tayari kuchakatwa na watu mbalimbali tena kwa uhuru,kikubwa namuomba asije akaleta picha mbaya kwa watoto kwani yawezekana wakawa wanashuhudia wanaume wa kila aina wakilala na mama yao,hivyo kuathirika kisaikolojia.Kwahiyo unaenda kumdhihaki Mungu kwa kuapa kuwa muaminifu halafu unachepuka Kama upo kwenye mashindano π π π hongera Ila muonee huruma watoto wenu pia kwa kuwasababishia malezi ya single mother au ya mama wa kambo... Mabadiliko yanaanza na wewe kaka.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyo aliyejifunika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
At least yuko tofauti [emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwema mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama men are dogs ina maana na yeye alikua anapandwa na mbwa kila usiku? Je na yeye si atakua jibwa jike au?Cha ajabu huyo mwanamke aliyeachwa na yeye atakuja na ule usemi wetu pendwa wa "all men are dogs"
Siku hizi umebadilika umeache zile harakati za kifeministCha ajabu huyo mwanamke aliyeachwa na yeye atakuja na ule usemi wetu pendwa wa "all men are dogs"
Bazaaaaaziiiiiiii umepatwa na uchungu sana na jamaa why?? Mbona alishamkatalia mamushka tena alikuwa anatetea ndoa yenu sana huyu.Siwezi kupa labda ya Mhadhiri!
Bazazi
Out of point.Sasa mwanamke ambaye kukitikea shida ndani ya nyumba,anaona ananyanyasika nakuona a-opt kuwa single mother,mimi nimzuie wanini?Awe single mother wadau wamfakamie kwa uhuru bila hofu yakuwaza kua watakuja kufumaniwa.Mfano huyo aliyetoka kwa mhadhiri,awe tayari kuchakatwa na watu mbalimbali tena kwa uhuru,kikubwa namuomba asije akaleta picha mbaya kwa watoto kwani yawezekana wakawa wanashuhudia wanaume wa kila aina wakilala na mama yao,hivyo kuathirika kisaikolojia.
Siku hizi umebadilika umeache zile harakati za kifeminist
Na mtoto waliyezaa pia ni dog πKama men are dogs ina maana na yeye alikua anapandwa na mbwa kila usiku? Je na yeye si atakua jibwa jike au?
Kwema mkuu MkomavuKwema mkuu?
Hata wewe imeanza kupata shaka sio, mimi ni ke π€£Mambo ya ndoa magumu bro! Sijui jamaa uamuzi.wake utadumu hadi lini!
Bazazi
Halafu wanawaza kizamani eti kampiga chini.. Unampiga chini mtu mwenye hela yake? Ndoa kitugani buana Kama hakuna amani?? Full umalaya mwanaume anajiona hawezi kutii Kiapo cha ndoa, basi bora afanye kwa adabu,... Anafanya waziwazi..
Nasema hiviiii wanaume mjitathmini, enzi ya mwanamke kuitwa malaya imeisha... Endeleeni kuonea wanawake masikini au wale wasiojielewa.
Tuna mioyo ya nyongo pia Kama mkiamua kuwa wanandoa chepukeni kwa nidhamu tafadhali... Maana mkigeuziwa kibao hamchelewi kupata stroke
Halafu wanawaza kizamani eti kampiga chini.. Unampiga chini mtu mwenye hela yake? Ndoa kitugani buana Kama hakuna amani?? Full umalaya mwanaume anajiona hawezi kutii Kiapo cha ndoa, basi bora afanye kwa adabu,... Anafanya waziwazi..
Nasema hiviiii wanaume mjitathmini, enzi ya mwanamke kuitwa malaya imeisha... Endeleeni kuonea wanawake masikini au wale wasiojielewa.
Tuna mioyo ya nyongo pia Kama mkiamua kuwa wanandoa chepukeni kwa nidhamu tafadhali... Maana mkigeuziwa kibao hamchelewi kupata stroke