Ile ndoa imesambaratika!


Umetumia vigezo gani kuniita mimi dogo na kwamba nikikua nitaelewa?hapa yeyote anaweza kuandika uwongo anavyotaka na ndivyo ulivyofanya huko juu nimekusoma mahali umejificha ukisema una ndoa na watoto wakubwa ila ukweli ni wewe live bila kupepesa macho ni “singo mama” uliyekubuhu tena menopause inakaribia.

Wenye akili tunajua kama ungekuwa na ndoa usingeandika hapa eti wanawake msiolewe wala msizikimbilie ndoa so moja kwa moja unajaribu kuwaaminisha wazae hovyo kama ulivyozaa wewe ili mfanane akili.usipotoshe jamii kama usichana wako uliutumia vibaya usitake wenzako wafate njia zako mbovu.
 
Bold inahusika.

Unakataa kuitwa dogo unalazimisha single mother. Wewe bure kabisa.

Bwana mdogo pambana na malaya wako na wanaharamu wako. Lea hivo vitoto kwa remote au mletee mkeo anayebembeleza ndoa ili muendelee kutiana na single mother wako mzae tena.... Usitafute tufanane...
 
Kuna ule wimbo wa R kelly When a women loveeeee, she love for real
 
 
Kibaya zaidi muhadhiri akiamua kumbwaga huyo dada..nasikitika Mimi..
 
Mkuu wewe usalama wa taifa?
au Ubazazi ndio umefanya kuyajua yote haya.


Ndukiiiii
‍♂️
‍♂️
‍♂️
Nilivyoelewa yeye ndio kagongewa
 
Kuna mwanamke alikuwa jeuri kama wewe, nikapiga chini nikavuta jiko jipya

Aliyempa kiburi kambwaga kaoa mwanamke mwingine

Saa hii anabweka tu huko

Fanyeni jeuri ila mna muda mchache wa kujiachia, kuna umri ukifika ndoa sahau lakini sisi tunaoa katika umri wowote
 
Mliokosa ndoa mna nasaha fulani hivi za ajabu ajabu
 
Mliokosa ndoa mna nasaha fulani hivi za ajabu ajabu
Ndoa ni heshima kwa mwanamke na mwanaume LAKINI inapogeuka ni kama favour kwa mwanamke ndipo shida inapoanzia.
Huyo wa kwako hajielewi, siku akijielewa utaona mabadiliko...
Nyie hamjanielewa au hamjielewi, siungi mkono mwanamke jeuri, mkorofi au malaya sasa kwanini Niunge mkono mwanaume mpumbavu, mnyanyasaji kisa ndoa, mtu anadhalilika, anadharaulika anateseka kisa ndoa. Anakuwa Kama sio mtu

Niwaulize nyie wanaume, leo unafanya hivo kwa mkeo (mtoto wa mwenzio) Jiulize utajisikiaje kila siku ukisikia /kuona binti yako anaishi ktk hali km hio?!?!?!?!

Tuwe great thinkers.. Sisi ni wazazi, tunahitaji wanaume na wanawake Waheshimu ndoa ili kujenga familia imara na sio wanaume kujiona wakishaoa ni kama wamefuga mbuzi humo ndani, mke anabaki utumwani....

Heshima ni kuheshimiana, upendo ni kupendana.

Mie sijazaa mwanaharamu, nimezaa kwenye ndoa.
Malaya ni wale waliozaa wanaharamu ili kuvunja ndoa za watu... Kwa kuwa anajua kbsa huyu mwanaume hawezi kunioa labda atengane na mkewe,,, anaishia kuwa single mother lkn tayari ametia doa kwenye ndoa ya watu


MTAELEWA tu
 

Tatizo lako wewe ndo hueleweki mada inasema kabisa aliyefanya kosa mwanamke ndo aliyechepuka,lakini wewe unakomaa na matatizo ya wanaume wengne,uwe unachingia kulingana na mada inasemaje wa usilazimishe unavyotaka wewe
 
Tatizo lako wewe ndo hueleweki mada inasema kabisa aliyefanya kosa mwanamke ndo aliyechepuka,lakini wewe unakomaa na matatizo ya wanaume wengne,uwe unachingia kulingana na mada inasemaje wa usilazimishe unavyotaka wewe
Mada imetoka mbali bro... Imepita milima, mabonde, konakona na tambarare 😂 😂 😂 😂
 
Woman are like matatuz, u get urz , scrow her effectively, akileta mbwembwe, dump her strongly and get another, life must continue
Tusimaseme misemo ya kudhalilisha sana wanawake kwani mama zeti ni wanawake pia.
 
Kama uko kwenye ndoa basi unavumiliwa tu au kuna boya umeliotea unaliendesha utakavyo
 
Kwanini unalazimisha iaminike huyo dada amechepuka sababu ya uovu wa mumewe ilhali stori haisemi hivyo?
 
Simple acheni kuolewa na muishi wenyewe kama mnaona ndoa ni manyanyaso. Tena msijihusishe na wanaume kabisa kama mnataka ile raha tumieni dildo tu hili kuonesha kweli hamna uhitaji wowote na wanaume.
Safi sana hili ni boooooooonge la jb wkt sk hz tu ukianza mahusiano nae cha kwanza ni kuanza kujileta nyumbani kwa mwanaume,kufua,kupika mwisho wa sk unatiwa mimba hatimae unaomba kuolewa....nyinyi wenyewe mnajirahisisha(sk zt mwanaume ndio kichwa cha familly...ndio kiongozi na hakuna mwanaume anataka kuwa na mwanamke mmoja ni shida tu na imani zetu nyingine za dini zinazuia kuowa wanawake zaidi ya mmoja vinginevyo hakuna mwanaume mmoja kwa mwanamke mmoja ni uwongo wa kiwango cha lami)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…