ile Blackberry smartphone aliyoibiwa waziri Malima....bei aliyosema inashangaza....

davidfrance82

Member
Feb 13, 2012
55
23
As an active blackberry smartphone user nimestushwa sana na habari kuwa Waziri Malima aliyeibiwa Hotelini Moro aliibiwa vitu pamoja na simu hizi....
1.Nokia C6--sh.500,000
2.Nokia E200--sh.250,000
3. Blackberry(??)--sh.5,500,000 (mshangao!!!!!!!)

Toka hii news toka
ilipo break I have been searching for informations everywhere, including blackberry customer forum...hakuna simu ya bei hiyo.. Either kapigwa na wajanja au ameamua kujisifia kuwa na simu ya bei kuliko zote duniani....
 
I did the same! Nime-search hadi toleo la mwisho la BB sijaelewa!
 
Blackberry(??)--sh.5,500,000 (mshangao!!!!!!!)

Toka hii news toka ilipo break I have been searching for informations everywhere, including blackberry customer forum...hakuna simu ya bei hiyo.. Either kapigwa na wajanja au ameamua kujisifia kuwa na simu ya bei kuliko zote duniani....

Ukweli ni kwamba, Malima alifoji risiti ya kununua simu Blackberry kwamba ni ya Tshs 5.5M akarudishiwa hela zake pale Wizarani. Sasa basi ikiibiwa lazima ataje bei aliyo-claim ofisini la sivyo wahasibu pale Wizarani watakuwa na la kusema!

Umeelewa somo sasa? Yale yale ya rada, ndege ya raisi, nyumba ya ubalozi Italy nk, nk, nk, nk, nk, nk,.........
 
Hapo kadanganya wazi wazi.
Kwa kitendo hicho tu alitakiwa kuwajibishwa.
OTIS
 
5.5m?
Labda mfupa hauna ulimi wakuu?
Ila km alimean hivo, kakaanga haswa wacha kuchemsha
 
Kwa hiyo mtu akisema kauziwa soda kwa sh alfu 3 ama bia kwa sh alfu 5 utakataa na kusema kadanganya kwa sababu tu cocacola/ama breweries wamependekeza bei (ama mtaani unaponunua wewe vinauzwa) soda sh mia 5 na bia sh alfu 1 na mia 8 tu?
 
tafuteni blackbery porsche inauzwa dollar
2500 usd
Acheni ushamba
 
Ila kuna mdau kabainisha uwezekano wa kuwa alichukua "imprest" ya Mil. 5.5 kwa ajili ya simu ya mkononi.. Labda kuna ka-ukweli...
 
tafuteni blackbery porsche inauzwa dollar
2500 usd
Acheni ushamba

Si ushamba... Ni walakini wa simu ya Malima kuwa ya Mil. 5.5... Muibiwa hakusema kaibiwa BB ya aina fulani ama la... Kabainisha bei..

Ni sawa na humu,mtu atasema anapost akiwa Marekani,wakati yuko bongo! Na si ajabu kwamba kuna members wa JF abroad,ila utawajuaje?
 
Ukweli ni kwamba, Malima alifoji risiti ya kununua simu Blackberry kwamba ni ya Tshs 5.5M akarudishiwa hela zake pale Wizarani. Sasa basi ikiibiwa lazima ataje bei aliyo-claim ofisini la sivyo wahasibu pale Wizarani watakuwa na la kusema!

Umeelewa somo sasa? Yale yale ya rada, ndege ya raisi, nyumba ya ubalozi Italy nk, nk, nk, nk, nk, nk,.........
Au alitoa oda special kutoka huko Canada,ni yeye peke yake aliye na hiyo model ya BB,hata Obama BB yake haifikii hata nusu ya bei ya hiyo BB ya naibu waziri wa bongo,kila mtu na kamhogo kake bana
 
Mimi nafikiri wewe ndie mshamba sasa 2500 usd ndio sawa na Tsh 5.5m
Mkuu usikurupuke nakumbuka ripoti aliyotoa malima kwa mara ya kwanza alisema blackberry mbili zenye thamani ya mil 5.5
Achana na ripoti ya rpc aliyotaja blackberry moja na anayosema haikutajwa thamaani yake
 
Sasa kam BB ya 2m yeye aliingizwa mjini akanunua kwa 5.5 kuna shida gani. Amesema kweli yake
mbona hata mashati ya aina moja yana bei tofauti duka hadi duka?
Hata hapo guest aliyoibiwa soda inauzwa 2500. Akisema nayo mtasema kaongopa?
 
When converted izo dola ni sawa na kama 3.9mil @ 1600 exchange rate.
Usikute alidaka mkwanja ofisini wa kununua simu ya dhamani iyo sasa kuepuka mzozo kaiweka hadharani dahamani.
Au labda aliinunua kwenye one of the fund rising za ujenzi wa misikiti kwa ela iyo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom