Ilala: Madiwani CCM, CHADEMA ‘wazichapa kavukavu’

Ilala: Madiwani CCM, CHADEMA ‘wazichapa kavukavu’

Kweli CHADEMA inakufa. Meya anapata kura 0 Dar!!! Sasa huko Imalinyi atapataje??
Hivi una akili kichwani wewe? Unajuwa Chadema ina madiwani wangapi Ilala? Na unajuwa ni kwa ni Asenga hakujipigia kura amempigia kura mgombea wa Cuf?

Hivi huko ccm mmejaa maiti zilizo hai?
 
Huu uchakachuaji ni zaidi ya kiwango cha standard gauge. Kura zero?
Mgombea wa Chadema aliwekwa spare standby incase mgombea wa Cuf ambai ndio wenye haki ya kutowa naibu meya kwenye makubariano ya Ukawa, kama angenunuliwa au kutekwa huyu mgombea wa Chadema alishaandaliwa kuchukuwa nafasi, lakini mpaka muda wa uchaguzi ccm walishindwa kumteka au kumnunuwa ndio maana kura zote za Ukawa zikapelekwa kwa mgombea wa Cuf.

Usipoelewa hapa itakuwa ni tatizo la mwalimu wako wa Primary school.
 
Makubaliano ya Ukawa ni ya kubip sana.
Makubaliano yamekaa kimaslahi sana..
Chaguzi za nyingi zimepita hapa kati kila chama kikitimua vumbi kivyake...
Maslahi tuu.
Kitu kinachouumiza vibaya "upinzani"
 
Makubaliano ya Ukawa ni ya kubip sana.
Makubaliano yamekaa kimaslahi sana..
Chaguzi za nyingi zimepita hapa kati kila chama kikitimua vumbi kivyake...
Maslahi tuu.
Kitu kinachouumiza vibaya "upinzani"
Point yako ni ipi hapa? Mimi naongelea uchaguzi wa jana madiwani wa Chadema na Cuf walivyojipanga kudhibiti hujuma halafu wewe unaniletea ngonjera zisizohusiana na uchaguzi wa jana.

Huu ni mkakati wa madiwani wenyewe walijipanga na siyo viongozi wa vyama usichanganye madesa hapa.
 
Mgombea wa Chadema aliwekwa spare standby incase mgombea wa Cuf ambai ndio wenye haki ya kutowa naibu meya kwenye makubariano ya Ukawa.
Wagombea spare/on standby nao huwa wanaingizwa kwenye "ballot paper" na kupigiwa/kutokupigiwa kura?
 
Hivi una akili kichwani wewe? Unajuwa Chadema ina madiwani wangapi Ilala? Na unajuwa ni kwa ni Asenga hakujipigia kura amempigia kura mgombea wa Cuf?

Hivi huko ccm mmejaa maiti zilizo hai?
Ha ha, maiti zilizo hai! Ndio zile zinaitwa zombie?
 
Back
Top Bottom