kuna kitu hukijui kuhusu chademaSasa CHADEMA imepata je kura 0?
Ina maana hata diwani wake hakujipigia kura?!
Mwenye video clip
Aliwapigia CCM kuunga mkono juhudi za 'Jiwe'Sasa CHADEMA imepata je kura 0?
Ina maana hata diwani wake hakujipigia kura?!
Hebu tujurishe unachokijuwa hata mimi sielewi hapa.kuna kitu hukijui kuhusu chadema
Bora wampe huyo huyo w CCM hata kama hakushinda kwakuwa hawa wa upinzani hawakawii kujiuzulu kwenda kuunga mkono juhudi hivyo kutupozea muda na pesa kwaajili ya kuwachagua tena wakihamia huko wanakounga mkono
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo Assenga, aliyepata kura (0), ndiye anayelalamika kura kuibiwa?!?![emoji16][emoji16][emoji16] Alisahau kujipigia[emoji23][emoji23]
oyaa kaa mbali na demu wanguBasi mkuu nitakukuta kule MMU
[emoji125]
UKAWA iliingiza majina mawili ili mgombea anayepewa kipaumbele ( wa cuf ) akitekwa na kuuawa kama taarifa zilivyotufikia basi wa chadema awe mgombea , baada ya watekaji kulifahamu jambo hili wakashindwa ndio wakaamua kupora ushindi kwa staili ya Tanga .Hebu tujurishe unachokijuwa hata mimi sielewi hapa.
Hata.mtaaaninkqetu wapo wengiMkuu mchango wako katika mada nyeti kama hii ni kicheko tu?
Douh...!!!UKAWA iliingiza majina mawili ili mgombea anayepewa kipaumbele ( wa cuf ) akitekwa na kuuawa kama taarifa zilivyotufikia basi wa chadema awe mgombea , baada ya watekaji kulifahamu jambo hili wakashindwa ndio wakaamua kupora ushindi kwa staili ya Tanga .
Dah...ukimya huficha mambo mengi sana....[emoji13]Wizi wingine wa kingese sana, yaani mgombea wa CHADEMA anapata 0 kuwa hata yeye mwenyewe hajajipigia kura ukiachilia mbali madiwani wenzie wa CDM?!!!
AWAMU YA V-WONDERS
Nimeelewa ni strategy nzuri ndio maana hata yeye mwenyewe hakujipigia kura.UKAWA iliingiza majina mawili ili mgombea anayepewa kipaumbele ( wa cuf ) akitekwa na kuuawa kama taarifa zilivyotufikia basi wa chadema awe mgombea , baada ya watekaji kulifahamu jambo hili wakashindwa ndio wakaamua kupora ushindi kwa staili ya Tanga .
Inawezekana walikubaliana wampe diwani wa CUF ili kishinda CCM. lakini kwa mujibu wa hii taarifa ubabe umetumikaSasa CHADEMA imepata je kura 0?
Ina maana hata diwani wake hakujipigia kura?!