Ilala: Madiwani CCM, CHADEMA ‘wazichapa kavukavu’

Hawa wahuni hata wakishinda, kesho unasikia wamejiuzulu na kuunga mkono JUHUDI za Magufuli.

Nawashauri vijana wasijihusishe kabisa na siasa za kuwapigania hawa wababaishaji.

Imagine, watu wanadeki barabara kwa ajili ya hawa wahuni?!
 
Kesho mgombea wa chadema rumande ccm mbele kwa mbele[emoji23][emoji23] [emoji23]
 
Sasa CHADEMA imepata je kura 0?
Ina maana hata diwani wake hakujipigia kura?!
Jacob hakuwepo leo? Wakati ule yeye ndio alimshikilia Kumbilamoto na wakashinda. Leo angemsaidia Asenga japo apate kura hata moja. Hivi UKAWA ndio imezikwa? Naona CUF ndani na CHADEMA ndani!!
 
Madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ‘wamezichapa kavukavu’ katika uchaguzi wa Naibu Meya Ilala baada ya Chadema kudai kura zao zimechakachuliwa.

Uchaguzi huo umefanyika katika Ukumbi wa Anatoglou jijini Dar es Salaam leo Jumatano Oktoba 3, ambapo katika uchaguzi huo, Diwani wa Kata ya Vingunguti, Omar Kumbilamoto (CCM), amefanikiwa kutetea kiti hicho baada ya kushinda kwa kura 27, huku mgombea wa Chama cha Wananchi (CUF), Adam Rajabu, akipata kura 25 na Patrick Assenga (Chadema) akiambulia kura 0.

Vurugu hizo zilianza baada ya madiwani kupiga kura na kwenda kuhesabiwa katika chumba cha kuhesabia kura, mgombea wa Chadema alitoka akipiga kelele kuwa CCM wameanza kuharibu uchaguzi.

Baada ya kusema hivyo maaskari waliokuwapo ukumbini hapo waliingia katika chumba hicho, Assenga alidai askari walimwamuru mgombea wa CUF kurudisha kura alizokuwa amehesabiwa mkononi ambazo zilikuwa 27 katika sanduku la kura na matokeo yake kura hizo akapewa Kumbilamoto.

Wakala wa Kumbilamoto baada ya kuhesabiwa kura hizo alitoka akishangilia ambapo alikutana na Assenga akiwa na madiwani wa Chadema akilalamika kuibiwa kura ambapo madiwani hao waliinuka na kuanza kurushiana ngumi na kutoleana matusi.
Siyo kweli huu ni upotoshaji, vurugu zilitokea baada ya CCM na ukawa kujitangaza washindi ambapo ukawa walimpigia kura diwani wa cuf na CCM ni yule mhamiaji haramu; hata matokeo rasmi yalikuwa kati ya hao wawili tu.
 
Kuna Hali Fulani imeanza kujitokeza Kwa baadhi ya Viongozi kujiona labda wapo juu ya sheria hivi, ubabe na kutokuheshimiana kunaanza kukua Kwa Kasi kipindi hili kuliko kipindi chochote kile...
Kila MTU yupo kimya, pengine anaogopa kusema.....
IPO hivi..... Criminal case haina deadlines.... Utashtakiwa Tu hata kama ni miaka 7 baadae.....
Kuna hofu Fulani baadhi ya Viongozi wanatamani kila mwananchi awe nayo, hata mfanyakazi nae amuogope mfanyakazi mwenzake kisa tu anamzidi cheo....
Hatutakubali Aina hii ya Viongozi, na Kwa vyovyote vile watu wa namna hii ni wakupinga popote pale walipo... In fact kuwakataa na mambo Yao yote..... Hizi tabia si za kibinadamu, na ningeshauri mamlaka kuchukua hatua Kali kabisa...
Ya kutoa lugha Kali na chafu Kwa watumishi yamevumiliwa, haya ya kupigana tusema hapana.
 
Attachments

Tunapoelekea ni patamu kama sega la asali. Na hatupo mbali sana kupafikia.
 
Madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ‘wamezichapa kavukavu’ katika uchaguzi wa Naibu Meya Ilala baada ya Chadema kudai kura zao zimechakachuliwa.

Uchaguzi huo umefanyika katika Ukumbi wa Anatoglou jijini Dar es Salaam leo Jumatano Oktoba 3, ambapo katika uchaguzi huo, Diwani wa Kata ya Vingunguti, Omar Kumbilamoto (CCM), amefanikiwa kutetea kiti hicho baada ya kushinda kwa kura 27, huku mgombea wa Chama cha Wananchi (CUF), Adam Rajabu, akipata kura 25 na Patrick Assenga (Chadema) akiambulia kura 0.

Vurugu hizo zilianza baada ya madiwani kupiga kura na kwenda kuhesabiwa katika chumba cha kuhesabia kura, mgombea wa Chadema alitoka akipiga kelele kuwa CCM wameanza kuharibu uchaguzi.

Baada ya kusema hivyo maaskari waliokuwapo ukumbini hapo waliingia katika chumba hicho, Assenga alidai askari walimwamuru mgombea wa CUF kurudisha kura alizokuwa amehesabiwa mkononi ambazo zilikuwa 27 katika sanduku la kura na matokeo yake kura hizo akapewa Kumbilamoto.

Wakala wa Kumbilamoto baada ya kuhesabiwa kura hizo alitoka akishangilia ambapo alikutana na Assenga akiwa na madiwani wa Chadema akilalamika kuibiwa kura ambapo madiwani hao waliinuka na kuanza kurushiana ngumi na kutoleana matusi.
Hili baraza lifutwe na kufyekelewa mbali haiwezekani tukaruhusu huu uvunjifu wa amani kuzoeleka. MAKONDA kamata hawa wote sweeeka ndani
 
Kweli CHADEMA inakufa. Meya anapata kura 0 Dar!!! Sasa huko Imalinyi atapataje??
 
Kuna Hali Fulani imeanza kujitokeza Kwa baadhi ya Viongozi kujiona labda wapo juu ya sheria hivi, ubabe na kutokuheshimiana kunaanza kukua Kwa Kasi kipindi hili kuliko kipindi chochote kile...
Kila MTU yupo kimya, pengine anaogopa kusema.....
IPO hivi..... Criminal case haina deadlines.... Utashtakiwa Tu hata kama ni miaka 7 baadae.....
Kuna hofu Fulani baadhi ya Viongozi wanatamani kila mwananchi awe nayo, hata mfanyakazi nae amuogope mfanyakazi mwenzake kisa tu anamzidi cheo....
Hatutakubali Aina hii ya Viongozi, na Kwa vyovyote vile watu wa namna hii ni wakupinga popote pale walipo... In fact kuwakataa na mambo Yao yote..... Hizi tabia si za kibinadamu, na ningeshauri mamlaka kuchukua hatua Kali kabisa...
Ya kutoa lugha Kali na chafu Kwa watumishi yamevumiliwa, haya ya kupigana tusema hapana.
Hatuwezi kukubali hii tabia katoka jamii ya watu waliostaarabika hili baraza livunjwe na sheria ichukue mkondo wake. Hawa jamaa wakukamata wote na kusweeeka ndani
 
Back
Top Bottom