Wanawake wa Dar aisee hapanaaa. Siku hizi ni kama vile biashara imehamishiwa kwenye usafiri wa umma. Yaani unakutana na mwanamke kwenye usafiri wa umma ni kama vile amedhamiria umtongoze. Anakusogezea kalio mpaka unatamani umuombe msamaha.
Hivi ni kwamba wanaume tunawindwa kwenye usafiri wa umma? furaha yenu wanawake ni kudungwa tu ama ndo kitega uchumi uchafuke udai hela?
Kama upo mwanza njoo nikuonyesheHmm sio kweli!
Unioneshe nini mkuuπKama upo mwanza njoo nikuonyeshe
Kwa muda huu nipo mwz,
Izo ulipanda daladala za vingunguti mkuuKuna mmoja mkuu nilikutana nae hapa kiembe mimba akawa analileta huku linanukia uturi. Nikalipokea taratiib, mpaka kufika amani complex nishapiga kimoja. Kuja kushuka Kisakasaka nikampiga kingine nikakun'gutia ndani ya suruali nikapita vile mm
NyamaziIzo ulipanda daladala za vingunguti mkuu
Kama kawaida, jf kila mtu kwenye pilika pilika zake huwa anakutana na pisi kali tuDaaah. Umenikumbusha kipindi flani nimepanda zangu daladala enzi zile mwendo kasi bado hazijaanza foleni zilikuwa za kufa mtu. alipanda binti ni mrembo amejazia namba nane mapaja manene soft rangi maji ya kunde mtoto mlaini, umri wake kama miaka 22 hadi 24 hivi. akasimamia mbele yangu, kila gari nikienda alikuwa anajiachia free lance ananibambia. kadiri muda ulivyoenda nikaona huyu anafanya makusudi na Abdallah hakuchelewa kusimama. akawa anasikilizia kitu cha moto alaf ananiangalia kwa macho ya kurembua. nikajifanya kauzu. Wakati nashuka kituoni na yeye akawa anashuka, akanifuata akanisemesha kwa sauti laini yenye mahaba kama yote, "kaka samahani kwa usumbufu uliotokea, nahisi umeumia, ni shida ya usafiri." Nikafikiri kwanza kabla sijamjibu akili ikaniambia kimbia zinaa, nikaishia kumwambia usijali nikatokomea zangu. Najua mabaharia mtanilaumu sana
Ukajichanganya Tu mwenzako ameshapata AjiraππMarejesho na vikoba
Mkuu nomasana jana tuu, himenitokea karume to makuburi jeshini(gar mbezi),aise yule manzi acha asuse makebo yake kwang,hila Cha msingi hilibidi niombe no .Wanawake wa Dar aisee hapanaaa. Siku hizi ni kama vile biashara imehamishiwa kwenye usafiri wa umma. Yaani unakutana na mwanamke kwenye usafiri wa umma ni kama vile amedhamiria umtongoze. Anakusogezea kalio mpaka unatamani umuombe msamaha.
Hivi ni kwamba wanaume tunawindwa kwenye usafiri wa umma? furaha yenu wanawake ni kudungwa tu ama ndo kitega uchumi uchafuke udai hela?
Hujatuangusha kakaMkuu nomasana jana tuu, himenitokea karume to makuburi jeshini(gar mbezi),aise yule manzi acha asuse makebo yake kwang,hila Cha msingi hilibidi niombe no .
Hili balaaaaKuna mmoja mkuu nilikutana nae hapa kiembe mimba akawa analileta huku linanukia uturi. Nikalipokea taratiib, mpaka kufika amani complex nishapiga kimoja. Kuja kushuka Kisakasaka nikampiga kingine nikakun'gutia ndani ya suruali nikapita vile mm
Mkuu,Ungejiuliza kwanza kwa nini serikali yako imefeli mpaka raia mnajazana na kubambiana na kuambukizana magonjwa kwenye dalaladala.
πππsina maoni,
ila michezo ya buku2 kila siku, vikoba vya wiki na mikopo ya kausha damu vina drive crazy wanawake wengi mno hasa dar aise gentleman π
πππWadau wamekuwa na majungu kwenye grocery badala ya kupelekea moto wakezao
Hadi NY?? em sema kwelii??Mkuu,
Majiji makubwa watu wanabanana kwenye usafiri wa umma kote kuanzia Tokyo, London, mpaka New York.
Serikali yetu imefulia kweli, lakini hili ni suala lipo dunia nzima kwenye majini makubwa labda wewe hujatembea tu.
Toka uachwe na aunt Dorry, umechanganyikiwa kabisaa Dogoo.Alafu unakuta mtu mzima anakuja kutongoza Vitoto vya shule ya msingi daaah huwa na wamaindi sana
Hao unaosema wanajirahisisha ni kweli kabisa mkuu wala si uwongo.
Lakini pia mda mwingine ni uhaba wa wanaume wakamiaji kuwa mchache hapa africa na mashariki.
Mfano. Kabla mimi sijawa lock down nilikua kila nikitoka kazini nikifika pale morocco nakutana na wadada mbali mbali na nilivo mcheshi nilikua naongea nao sana kiasi ambacho kuna baadhi walikua wanatamani sana wajue nakaa wapi.
Sasa kuna huyu mmoja nikasema ngoja nikamkunje.
Kilichokuja kutokea akaniganda na sio kuniganda tu akaenda kusimulia na wenzake.
Nikasema its oky sasa shida iliyokuja kutokea ni kuwa hawa wenzake kila mmoja ananitafyta kwa mda wake akitaka huduma.
Nikiuliza shida nn. Hawasemi mmoja akaja kunambia ukweli wameambiwa hv na vile kuhusu ww na hiyo ndo sababu.
Sasa hapa nina kitabu ambacho tauza kwa bei ya chini kabisa kwa wenzangu wa jf..
Hiki kitabu ukija maduka yetu huku kinonondoni nauza 10000 ila leo ofa tauza kwa shillingi 5000 tuu.
Nimeona watu wengi wakinusumbua kuhusu kitabu nilichowauzia mwaka jana cha KUPATA UTAJIRI BILA KUVUJA JASHO (YAKUZ YAVUZ)
Subway za New York City rushhour zinajaa sana.Hadi NY?? em sema kwelii??
Ninajua kwenye treni za ruti fupi mjini huwa kuna hiyo misongamano ila sijawahi kujua bus/dalaladala nazo huwa zinapakiza watu kujaza hivyo.Mkuu,
Majiji makubwa watu wanabanana kwenye usafiri wa umma kote kuanzia Tokyo, London, mpaka New York.
Serikali yetu imefulia kweli, lakini hili ni suala lipo dunia nzima kwenye majini makubwa labda wewe hujatembea tu.
Bus si sana, ila treni zinajaza.Ninajua kwenye treni za ruti fupi mjini huwa kuna hiyo misongamano ila sijawahi kujua bus/dalaladala nazo huwa zinapakiza watu kujaza hivyo.
Oooh kumbee, etii ni jimbo gani ambalo lina Black Americans wengii??Subway za New York City rushhour zinajaa sana.
Ila uzuri zina ac summer na heating wakati wa winter.