Ila wanawake ni "selective" mno!

100% βœ“
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mjuba every behavior ya kila jinsia ishakuwa studied, ndio maana articles na papers zipo kwenye department ya behavioral studies ukiacha hayo humanities na social science. Halafu ni nani kakwambia unahitaji kuingia kwenye kichwa cha mwanamke kujua hayo unayoniuliza. Nisichoweza kujua ni vitu ambavyo vipo subjective tu kwa specific individual ila still can be determined by studying circudian rhythm. Nothing new mbona! Mpaka coding ya AI algorithm ya robot la kike na la kiume still was done basing on human behaviuor studies for both sex. Pili umeambiwa hujakatazwa kuchagua, ila no one bares with you on consequences. Sasa kama hiyo sentensi inakuogopesha basi jitafakari, ila hamna jipya. You rip what your sow!
 
No sista usinichukulie vibaya sijakudharau ila maswali mengine unauliza kwa makusudi. Its just a discussion!
Wala hamna shida rafiki. Hapa tunabadilishana tu mawazo kuwa na amani.
 

Every behavior ya kila jinsia ndiyo nini? Unaweza hata kuzi list?

Unajua behavior inabadilika muda wote kulingana na mazingira?

Kama behavior inabadilika kutokana na mazingira, na mazingira yanabadilika, utasemaje every behavior ya kila jinsia ishakuwa studied?

Kama every behavior ya kila jinsia ishakuwa studied watu wanafanya Ph.D reserches mpya za nini?

Hilo neno jinsia lenyewe unajua linakuwa redefined in a major way?

Nani kakwambia wewe umechaguliwa kuwaelekeza watu lolote kuhusu consequences au hata kwamba watu wanajali what is your idea of consequences?

You are mansplaining women's issues, even after being told that you are mansplaining.
 
Mkuu huo unyama. So wewe kumbe ulikuwa snitch?
Mm snichi hadi kesho kumamae zao. Mm maisha yangu ni broken. Yani kama huna Cha kuofa kwenye maendeleo hata plan huwez kupata kitu kokote Kule. Kama mm sikuamini unataka nikupeleke Kwa wanaoniamni mm wakuamini wewe.
Take principle hiyo usije ukalia huko mbele usije kushangazwa na unaowasaidia
 
Ni z
Ni zilist wakati mapaper yapo nenda kasome. Halafu kuhusu Ph.D mpya kwani ukishazijua hakuna modification na njia za kuzibadilisha au unafikiri kuzijua ndio mwishoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Au unavyojua Ph.D ni ya branch moja kwenye science. Wewe ndio umeniambia na manexplain, sijaona mwingine aliyeniambia chiefπŸ˜‚πŸ˜‚. Yaani unataka kunidiscipline kwakutumia network, give me a break bossπŸ˜‚πŸ˜‚. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Unajua tabia gani zinazobadilika na mazingira na zipi hazibadiliki. Unafikiri kila tabia inabadilika na mazingira mjuba, aisee!
 
Sasa hao mademu na jamaa zao wewe walikukosea nini?
 

Akiwa mmbaya ndio agawe kwa kila mtu...
 
Paper inayo list kila behavior ya kila jinsia iko wapi?

Na unajuaje hiyo list imekamilika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…