mangiTz
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 2,108
- 3,460
Hizi familia za bongo ujifanye hakimi familia Ina watu 8 😂😂 wengine ndo vile tena maana hawanyookagi wote hiyo ni nzuri kama mmezaliwa wawili au mmoja
🤣🤣Hakimi katuweza aisee🤗