Ila Trump ni wa ajabu sana

Hivi jamaa hana washauri maana ana ruka ruka sana.
Leo hili, kesho vile mara kala u turn ana hili, imedika mahala hata akiongea jambo unaona ni jokes tu
 
Trump ni kichaa hana akili timamu Zelenky kapinga mpango wake wa kununua mafuta Russia anasema Ukraine inatakiwa kutawaliwa na Rais mwingine sio huyu anaempinga..
Dunia imetawaliwa na kichaa hata gharama ya kupanda kwa mafuta huyu muhuni ndio katengeneza haya mazingira mabovu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…