Wengine ni Wagonjwa, nimesoma na manzi mmoja yeye alikua na huo ugonjwa wa kunenepa, kumtofautisha alikua na lebo ili mwalimu akitoa adhabu asije akamuua, kwa hio sio kila bonge ni mzima wengine ni wagonjwa ugonjwa wa kunenepa mwili sijui unaitwaje ila upoDuh ila kwa experience yangu niliosoma nao kumkuta bonge hata top ten ni bahati...
Duh nadhani hata genetic inachangia maana wengine sio kwamba hata wanakula sanaWengine ni Wagonjwa, nimesoma na manzi mmoja yeye alikua na huo ugonjwa wa kunenepa, kumtofautisha alikua na lebo ili mwalimu akitoa adhabu asije akamuua, kwa hio sio kila bonge ni mzima wengine ni wagonjwa ugonjwa wa kunenepa mwili sijui unaitwaje ila upo
Unatutukana mabonge au siyoDuh ila kwa experience yangu niliosoma nao kumkuta bonge hata top ten ni bahati...
Hapana mkuu... kwa shule nilizosoma mimi ndio hivyo sijui huko kwenu.Unatutukana mabonge au siyo
Hahahhhhhh ukilinganisha na vibonge bora hao maana hata ukitoa mtihani kwa wasio vizuri kichwani utapata namba 1 nawa mwisho.Mbona sasa kuna wengine ni namba 1 lakini kichwani hakuna kitu kabisa...
kwani hakuna bonge ambaye kapigwa pasi, ila mkuu soma mada buana๐Duh ila kwa experience yangu niliosoma nao kumkuta bonge hata top ten ni bahati...
FatismWengine ni Wagonjwa, nimesoma na manzi mmoja yeye alikua na huo ugonjwa wa kunenepa, kumtofautisha alikua na lebo ili mwalimu akitoa adhabu asije akamuua, kwa hio sio kila bonge ni mzima wengine ni wagonjwa ugonjwa wa kunenepa mwili sijui unaitwaje ila upo
... Sio University!Duh ila kwa experience yangu niliosoma nao kumkuta bonge hata top ten ni bahati...
Mh... kumbe huko wako mkuu?... Sio University!
Ni "Obesity" hamnaga ugonjwa unaitwa fatism๐๐๐Fatism
Kuna mahali nilikuwa napiga kibarua changu,sasa madirisha pale ni aluminium ambayo ukipita nje unajiona na ndio barabara kubwa ilipo,yani kila mdada akipita pale unamuona anajigeuza ili ajiangalie huku nyuma yukoje,nikasema kaazi kwelikweli...Ukubwa wa makalio hauhusiani na uwezo wa kufikiri, akili au tabia ya mwanamke. Ubongo upo kichwani, na ukubwa wa matako hauonyeshi kiwango cha akili ya mwanamke.
Kama ukiilenga tabia badala ya maumbile, Basi ni kweli wanawake wengi wenye matako makubwa wanajivunia mwonekano wa nje kiasi cha kudhani unaweza kuchukua nafasi ya akili.
ILA SASA KWANINI PICHA IMECHORWA HII
View attachment 3699293
Duh huyo kanyimwa kila kitu ๐๐Mbona sasa kuna wengine ni namba 1 lakini kichwani hakuna kitu kabisa...