[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmh nyie wenzetu mnafanyaje? Kuna mshkaji wangu naye ana ngekewa ya mademu kama yako na yuko simple tu!
Wakina sisi ni vumbi tu hata msaidizi wa mama ntilie anakuchomolea π₯²
Nalalia mimi πMonetary doctor na wewe mda mwingine kama unalaliwa
We jamaa una kauli za hovyo aiseee.Nalalia mimi π
Kauli gani sasa πWe jamaa una kauli za hovyo aiseee.
π€£π€£π€£π€£πππ
Unajisifia ujinga! Yaani anakapenda hivyo halafu namjibu ujinga? Ipo siku utakuja kukuta nakwambia! Hasa utakapooa watakukomesha!Huyu manzi wa mtaani hapa namfanyia kila visa ili aniache,ndo kwanza yeye anazidisha mahaba kwangu.
View attachment 3350296
WEe jamaa hovyo mnoooKauli gani sasa π
sina uhovyo wala nn, ni vile nakuheshimu na ulivyo comment nikakujia juu πWEe jamaa hovyo mnooo
Sio ukanijia juu chunga kauli mkuu..sina uhovyo wala nn, ni vile nakuheshimu na ulivyo comment nikakujia juu π
Nimelipuuza sana hili jamaa! Namwomba Mungu siku likimwacha huyu binti likaangukie kwenye gaguro lipigwe matukio mpaka likome. Nakumbuka hata mimi wakati wa ujana wangu nilikuwa na kaupuuzi fulani, nikawa namkimbia mtu anayenipenda kwa dhati nakimbilia kwa vinung'ayembe mwisho wa siku nikajisemea huu sasa ujinga maana kila ninakokimbilia nakuta kwa hovyo bora hata wangu wa zamani, ikabidi nijisalimishe!Me naona kuna utoto mwingi hapo.
Unajua kupata mtu anaekupenda kabisa duniani na sio mzazi au ndugu yako ni kazi sana.
Sasa mtu anakupenda na wewe humtaki, ebu kuwa mwema kwake angalau kwa kumuheshimu na kuthamini upendo wake. Sio kumchoresha na kuutumia upendo wake kama fimbo ya kumchapia.
"To every action there is an equal and opposite reaction."
Sasa ngekuambia nn mjinga au mpumbavu hapn Kuna kauli tuu za kiume aaah hata sijamaanisha hivyo ila umelieka personal sana πSio ukanijia juu chunga kauli mkuu..
Acha ujinga π€£π€£π€£π€£
Umeona nilivokuungia π€£π€£π€£πππSasa ngekuambia nn mjinga au mpumbavu hapn Kuna kauli tuu za kiume aaah hata sijamaanisha hivyo ila umelieka personal sana π
Hiyo sio ngekewa, hii biashara ya kupendwa na usiyempenda ni kero.Mmh nyie wenzetu mnafanyaje? Kuna mshkaji wangu naye ana ngekewa ya mademu kama yako na yuko simple tu!
Wakina sisi ni vumbi tu hata msaidizi wa mama ntilie anakuchomolea π₯²
Afu me siogop mtu akinisema vibaya coz me ndo kituo kikubwa Cha kutoa na kupoozea ko mm nilikuwa nacheka tuu afu nachukulia kma ni serious yaan πUmeona nilivokuungia π€£π€£π€£πππ
Sasa assume ukaniambia kauli kama zile jukwaa la siasa ahahaha yaani mada itabadilika maana ntaita tag langu hilo kuna nomadix
Secretaryndege na wengine
π€£π€£π€£πππ Sasa wewe jichanganye siku ukutane na bichwa komwe....Afu me siogop mtu akinisema vibaya coz me ndo kituo kikubwa Cha kutoa na kupoozea ko mm nilikuwa nacheka tuu afu nachukulia kma ni serious yaan π
Afu mbona tukikutana ni kuheshimiana tuuπ€£π€£π€£πππ Sasa wewe jichanganye siku ukutane na bichwa komwe....
Jamaa akija kwenye mada yako ...
Me mambo yake ya kinyume nyume ntamkataza mara moja πJamaa akija kwenye mada yako ...
Hapo harufu itabadilika
Mbaga ndo umwambii kitu hapo..Me mambo yake ya kinyume nyume ntamkataza mara moja π