Huyo ni mzuri kwa mujibu wa wewe,kila mtu ana jinsi anavyo define uzuri.mwanume mzuri anakuwaje?[/QUOTE
Ameenda hewani ana kifua kipana na mikono iliojaajaa kulingana na mwili wake ana sura nzuri huu ni mwonekano wa nje
Uniformity iko kwenye wallet na kujua wajibu wake tu,mwanaume pesa na majukumu kifua kipana peleka gym.
Tehe tehe teheee.....Leo ATM wangu lazizi umegoma kutoa wekundu wa Msimbazi ndio maana unaambiwa unaringa. ATM wangu, kwani hawajui kwamba saa nyingine unafulia?Mwanaume akishajijua tu kuwa ni mzuri na wadada tunampapatikia,basi nae ataanza nyodo kama binti...naichukia sana hii tabia,wenye tabia hii jirekebisheni bana,mnatufanya sisi wadada tushindwe kujiexpress feelings zetu kwenu.
Mwanaume akishajijua tu kuwa ni mzuri na wadada tunampapatikia,basi nae ataanza nyodo kama binti...naichukia sana hii tabia,wenye tabia hii jirekebisheni bana,mnatufanya sisi wadada tushindwe kujiexpress feelings zetu kwenu.
hahahaha nimecheka sana daaa jf kuna vituko sana.Mimi siyo kama nakuringia, yaani ndivyo nilivyo kama sikujuwi hata habari yangu hautaisikia....ila ukinisalimia nitakujibu. Mimi niliachana kusalimia kina dada miaka 7 iliyopita kwani ilikuwa kila nikiwasalimia dada habari yako, wao wanarudisha kwa kuniambia wanangu hawajala jana, au nataka pango la nyumba la mwaka mzima. Nimeuliza tu habari nashushiwa mizigo ndiyo maana nikaacha kusalimu. Tafadhali nisamehe, yaani ni uamuzi wangu tu wa kuuchuna kwani sitaki mizigo ya kujitakia wakati kula wanakula wengine vyombo nioshe mie.
samahani mwanaume uzuri wa sura ?????
uzuri wa mwanaume kujituma ...ajue wajbu wake kutafuta pesa sura ya kazi gani???amekuwa pambo :israel::israel::israel:
yeye maua or???
anasifiwaga walleti!" sura hata mbuz anayo.
Kuringa unaweza ukiwa na Yesu tu vinginevyo ni kujidanganya!!!
Mwanaume akishajijua tu kuwa ni mzuri na wadada tunampapatikia,basi nae ataanza nyodo kama binti...naichukia sana hii tabia,wenye tabia hii jirekebisheni bana,mnatufanya sisi wadada tushindwe kujiexpress feelings zetu kwenu.
Huyo ni mzuri kwa mujibu wa wewe,kila mtu ana jinsi anavyo define uzuri.
Uniformity iko kwenye wallet na kujua wajibu wake tu,mwanaume pesa na majukumu kifua kipana peleka gym.
Ebanaee!
Mwenye zile karatasi nyekundu nyiiingiii
Huyo ni mzuri kwa mujibu wa wewe,kila mtu ana jinsi anavyo define uzuri.
Uniformity iko kwenye wallet na kujua wajibu wake tu,mwanaume pesa na majukumu kifua kipana peleka gym.
Za uso kaaaa!
hahahaha nimecheka sana daaa jf kuna vituko sana.
Najiuliza hapo kwenye blue ni wewe unayesemwa hapa ni wewe?
this so GAY....I dont mean you are gay.
you meant what!!!!!!!!
FROM dictionary.com
gay
i meant NUMBER 3 DEFINITION
Huyo ni mzuri kwa mujibu wa wewe,kila mtu ana jinsi anavyo define uzuri.
Uniformity iko kwenye wallet na kujua wajibu wake tu,mwanaume pesa na majukumu kifua kipana peleka gym.
NAOMBA USEME UNATAKA KITU GANI NIKUNUNULIE AISEE LAKINI KISIZIDI 30,000TSH