Ila huu ukweli lazima usemwe

Ila huu ukweli lazima usemwe

Tatizo lenu nyie masingle ni wabahili na hela zenu. Hao wake za watu sii wanahudumiwa ndio maana, ebu watoke kwenye ndoa uone wanavyofubaa
Kaka mwanamke kama ni mzuri ni mzuri tu hata akikosa matunzo
 
Nimeshawai kushuhudia jamaa anaoa mke m'bovu bovu lakini baada ya kama mwaka iivi yule mwanamke alibadilika akawa mzuri balaa.. Ni tunavowatunza tu wakiwa wenyewe hawawezi kujitunza hawa
Basi kumbe mwanamke matunzo kaka
 
Mkuu umenena vyema maana mda si mrefu APA nimekutana na mke wa MTU mweupee anang'aa mzr balaa, mi nikajua demu tu wa mtaa ile kuangalia vzr daaah kumbe ni dem wa mshikaji mmoja ivi wana duka lao APA mtaani.
Yawezekana kuhudumiwa ndiko kunakowang'arisha
 
Naunga mkono hoja

Wanaume waliooa wake zao wazuri aseee manake nikijiangaliaga mimi ambaye sijaolewa tabia zangu na walioolewa ni kama ardhi na mbingu

Kuna muda nikijiangalia najiuliza hivi nitaolewa kweli?
Ulipie Tangazo 😎
 
Waswahili wana msemo wao mashuhuri 'wanawake wazuri huwa hawaolewi, huwa wanaishiwa kuchezewa tu'
 
Naunga mkono hoja

Wanaume waliooa wake zao wazuri aseee manake nikijiangaliaga mimi ambaye sijaolewa tabia zangu na walioolewa ni kama ardhi na mbingu

Kuna muda nikijiangalia najiuliza hivi nitaolewa kweli?
Utaolewa tu, kitu kimoja tu, angalia tabia za maslay queen na kuziepuka, ni tabia zinazokimbiza wanaume Sana, pili ukikutana na mwanaume anayeonyesha ana maono ya Maisha, ukionyesha support kwake kama hajaoa na Hana mchumba huyo hatabanduka kwako. Wanaume wanapenda Sana wanawake wanao support na kushape maono yao.

Cha kuzingatia, mwanaume mzuri anajengwa na mwanamke, ukiona mwanaume kakamilika Sana ujue Kuna mtu kafanya kazi yake. Wanawake makini ndio zao la wanaume makini. Hakuna ready made kwenye Maisha, mwanaume aliyetengenezwa na mwanamke mwingine atakusumbua kwenye ndoa. Wanawake makini ni speed governor nzuri Sana kwenye mafanikio ya wanaume.
 
Mwanamke akiolewa lazma apendeze because sisi wanaume tunapenda kuonekana tuna vyuma high grade. Kwaio wife lazma matunzo muhimu na kuangaliwa if kapendeza every time ili watu waone wivu huko striti.
 
Najua nnalotaka kulizungumza lawezekana lisiwe na maana yoyote kwa baadhi yenu ila acha tu niseme.

Kwanza niwapongeze wanaume wenzangu woote hasa waliooa. Katika jambo ambalo hamjatuangusha wanaume wenzenu ni katika kuchagua wake. Kwanini ?

"Wake za watu wazuri jamani".

Nimefahamiana na wanawake wengi, na wake za watu wakiwemo, sijawahi kuona mke wa mtu mbaya, wake za watu wote nnaowafahamu wazuri, tena wengine kila idara wako safi.

Msinielewe vibaya, sina nia ya kulala na wake za watu na sijawahi kufanya hivyo ila tu nilichogundua, linapokuja suala la kuoa; wanaume huwa tunajua kuchagua vitu vizuri kwa kweli.

Niwatakie jioni njema.
Mkuu weka wazi bandiko lako.
Mke wa mtu ni mzuri au mtamu?

Kama uzuri ni kwamba,,

Mwanamke ili awe mke wa mtu fulani,
Kwanza ni lazima awe Bora kuliko wanawake wengine waliopo.

Ndy maana wanakuwa ni wazuri sababu they are chosen ones.

Sasa sijaelewa unamaanisha mtamu au mzuri?.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom