Ila huu ukweli lazima usemwe

Ila huu ukweli lazima usemwe

Mr_S

Senior Member
Joined
Apr 2, 2022
Posts
108
Reaction score
89
Najua nnalotaka kulizungumza lawezekana lisiwe na maana yoyote kwa baadhi yenu ila acha tu niseme.

Kwanza niwapongeze wanaume wenzangu woote hasa waliooa. Katika jambo ambalo hamjatuangusha wanaume wenzenu ni katika kuchagua wake. Kwanini ?

"Wake za watu wazuri jamani".

Nimefahamiana na wanawake wengi, na wake za watu wakiwemo, sijawahi kuona mke wa mtu mbaya, wake za watu wote nnaowafahamu wazuri, tena wengine kila idara wako safi.

Msinielewe vibaya, sina nia ya kulala na wake za watu na sijawahi kufanya hivyo ila tu nilichogundua, linapokuja suala la kuoa; wanaume huwa tunajua kuchagua vitu vizuri kwa kweli.

Niwatakie jioni njema.
 
Naunga mkono hoja

Wanaume waliooa wake zao wazuri aseee manake nikijiangaliaga mimi ambaye sijaolewa tabia zangu na walioolewa ni kama ardhi na mbingu

Kuna muda nikijiangalia najiuliza hivi nitaolewa kweli?
Wewe mzuri tena smart kichwani mana sio bure uijue jamii forum, wengi wanaijua FB na instagram,
Kama upo siriasi njoo pm uweke namba zako za wasap tuanzishe mawasiliano uje uwe mke wangu
 
Naunga mkono hoja

Wanaume waliooa wake zao wazuri aseee manake nikijiangaliaga mimi ambaye sijaolewa tabia zangu na walioolewa ni kama ardhi na mbingu

Kuna muda nikijiangalia najiuliza hivi nitaolewa kweli?
Kama ww unajitilia mashaka, sisi ni nani tupinge
 
Naunga mkono hoja

Wanaume waliooa wake zao wazuri aseee manake nikijiangaliaga mimi ambaye sijaolewa tabia zangu na walioolewa ni kama ardhi na mbingu

Kuna muda nikijiangalia najiuliza hivi nitaolewa kweli?
Tatizo lenu nyie masingle ni wabahili na hela zenu. Hao wake za watu sii wanahudumiwa ndio maana, ebu watoke kwenye ndoa uone wanavyofubaa
 
Naunga mkono hoja

Wanaume waliooa wake zao wazuri aseee manake nikijiangaliaga mimi ambaye sijaolewa tabia zangu na walioolewa ni kama ardhi na mbingu

Kuna muda nikijiangalia najiuliza hivi nitaolewa kweli?
Kuna nafasi moja hapa.
Karibu
 
Back
Top Bottom