Ikulu, Zanzibar: Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi ni mzima wa afya

Mwendazake kwa kua alikua anawaua wenzake akajua yeye ataishi milele,alitengeza mazingira aonekane ye mungu mtu.......Mwinyi hata akifa leo,kazi yake amemaliza salama.....miaka 90,si haba.......rest in peace Ben Saanane
 
Haya makanusho yamenikumbusha siku ile Kassim akiwa msikitini akatumia nguvu nyingi sana kusema John yu mzima na amezungukwa na mafaili ya kutosha!
Nduli JPM aliweka mazingira ya kuonekana ye ni immortal na wazalendo wengi waluikua wanasubiri nduli,jitu katili life.......Mwinyi ameishi maisha yake vyema,hata akifariki hamna lawama kutoka,......rest in peace Azory Gwanda
 
IKULU YATOA TAARIFA KUHUSU MZEE ALI HASSAN MWINYI

Idara ya Habari na Mawasiliano Ikulu inatoa taarifa ya kukanusha habari zisizokuwa rasmi zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi.

Mzee Mwinyi yupo salama, mwenye afya na anaendelea na majukumu yake ya kila siku.

View attachment 1813862
Cheo cha mwisho kushika mzee Mwinyi ni Rais wa JMT, kwanini hii habari isikanushwe na Idara ya Habari na mawasiliano ya JMT?
 
Cheo cha mwisho kushika mzee Mwinyi ni Rais wa JMT, kwanini hii habari isikanushwe na Idara ya Habari na mawasiliano ya JMT?
Wapi wameandika ofisi ya mwisho mtu aliyehudumu ndio taarifa yake yeyote itoke?............by the way viva JPM,hongera kwa kuipeleka nchi uchumi wa kati
 
Quaranti quo
On which authority ikulu ya Zanzibar inatoa taarifa kuhusu raisi wa Muungano??
Naona wanazidi kumea pembe sasa
 
IKULU YATOA TAARIFA KUHUSU MZEE ALI HASSAN MWINYI

Idara ya Habari na Mawasiliano Ikulu inatoa taarifa ya kukanusha habari zisizokuwa rasmi zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi.

Mzee Mwinyi yupo salama, mwenye afya na anaendelea na majukumu yake ya kila siku.

View attachment 1813862
Protocol has not been observed!!

Ilitakiwa akanushe mwanafamilia kutoka familia ya Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi au Ikulu ya JMT na Sio Ikulu Zanzibar.

La sivyo, tunamtakia maisha marefu Rais wetu mstafu.

Asante!!
 
Tuoneshe hio document yeye hizo protocals....ili wazalendo tujiridhishe
 
IKULU YATOA TAARIFA KUHUSU MZEE ALI HASSAN MWINYI

Idara ya Habari na Mawasiliano Ikulu inatoa taarifa ya kukanusha habari zisizokuwa rasmi zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi.

Mzee Mwinyi yupo salama, mwenye afya na anaendelea na majukumu yake ya kila siku.

View attachment 1813862
Kama kafa hakuna haja ya kuficha kitu.. Ni umri sahihi wa kupumzika
 
Hivi ni Nani alimpigiaga Chalamila simu, kwamba mzee ni mzima wa afya?!
Atakuwa alilewa tu akaamka na hangover akajikuta amebwatuka mtu mwenyewe mnamuona alivyo ni kama mshereheshaji tu. He is such a clown.
 
Back
Top Bottom