Ikulu, Zanzibar: Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi ni mzima wa afya

Kuna mpuuzi mmoja youtube ndio alivumisha jana.

Magufuli alifungia online TV baadhi kwa ujinga na utoto kama huu.
Ukitaka kujua watu wana nini mioyoni basi waache waongee.
Ukitaka usijue wanyamazishe.
Mtu ukikwaza na matangazo ya chombo cha habari - kiburuze mahakamani kikulipe.
 
Ukitaka kujua watu wana nini mioyoni basi waache waongee.
Ukitaka usijue wanyamazishe.
Mtu ukikwaza na matangazo ya chombo cha habari - kiburuze mahakamani kikulipe.
Ukisema Rais mstaafu kafariki halafu ikawa ni habari ya uzushi wewe uliyeisambaza unaweza kushtakiwa.

Uhuru wa habari ni muhimu lakini weledi ndani ya sekta nzima ya habari ndio utakayoipatia heshima siku zote.
 
IKULU YATOA TAARIFA KUHUSU MZEE ALI HASSAN MWINYI

Idara ya Habari na Mawasiliano Ikulu inatoa taarifa ya kukanusha habari zisizokuwa rasmi zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi.

Mzee Mwinyi yupo salama, mwenye afya na anaendelea na majukumu yake ya kila siku.

View attachment 1813862
Majaliwa Naye alisema JPM ni mzima anachapa kazi zake, moto unawashwa Moshi utaonekana tu.
 
Naweza kusema kwa jina la Mola wa JMT, ni vyema umakini wa Hayati Magufuli Raisat Samia AUANGALIE TENA. Mitandao imekithiri uongo, udanganyifu na umbea. Hii so sawa Mama Yeti. Tinakupenda, lakini u'u. Vyombo vyazidi kutukirihisha.
Sijaambulia kitu! Umeandika lugha gani?
 
Naweza kusema kwa jina la Mola wa JMT, ni vyema umakini wa Hayati Magufuli Raisat Samia AUANGALIE TENA. Mitandao imekithiri uongo, udanganyifu na umbea. Hii so sawa Mama Yeti. Tinakupenda, lakini u'u. Vyombo vyazidi kutukirihisha.
Kuna kitu hapo umekiweka kama mzaha ila mimi kilikuwa kinaniumiza akili tangu muda sana tangu samia ashikilie usukani

Maneno mengi tumetohoa kutoka kwenye kiarabu sasa vipi kwa neno rais samia tusiite raisat samia?
 
Back
Top Bottom