Ikulu yakanusha taarifa ya mali za taasisi ya WAMA inayoongozwa na mama Salma Kikwete kupigwa mnada


real G

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Messages
5,256
Likes
5,120
Points
280
Age
43
real G

real G

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2013
5,256 5,120 280
whatsapp-image-2016-12-04-at-1-07-23-pm-jpeg.442591TAARIFA KWA VYONIBO VYA HABARI


Katika siku za karibtmi baadhi ya wombo wa habari na mitandao ya kijamii imechapisha taarifa zinazomhusisha Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Mama Salma Kikwete naa Taasisi anayoiongoza ya Wanawanke na Maendeleo (WAMA) kwamba

imeshindwa kulipia kodi mizigo mikubwa iliyoiingiza nchini na hiwo kuwa hatarini kupigwa mnada.
Taarifa hizo zimemhusisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwa anahusika kuzuia mizigo hjyo bandarini mpaka hapo itakapolipiwa kodi.

Tunapenda kuutalifu umma kuwa taarifa hizo sio kweli na ni uzushi, na Rais Magufuli hajawahi kuzuia wala kuagiza kuzuiwa kwa mizigo ya Mama Salma Kikwete.


Rais Magufuli amesikitishwa sana na uzushi huo unaofanywa kwa lengo la kumchafua Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na familia yake na amewataka waandishi wa habari na wombo vya habari nchini kuacha kuandika na kuchapisha taarifa za uzushi na badala yake wazingatie weledi na kufuata sheria.


“Nimesikitishwa sana na uzushi unaofanywa dhidi ya Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mke wake Mama Salma Kikwete tafadhali mnaotengeneza uzushi huu muache mara moja, muacheni Rais mstaafu Kikwete apumzike''.


“Rais Mstaafu Kikwete amefanya makubwa kulitumikia taifa hili, amestaafu anampumzika, narudia muacheni apumzike, serikali haiwezi kuendelea kuvumilia uzushi na uchonganishi unaofanywa kwa makusudi kuwachafua viongozi wastaafu'' Ameonya Rais Magufuli

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU

Dar es Salaam
O4 Desemba, 2016
 
Nucky Thompson

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Messages
1,633
Likes
3,576
Points
280
Nucky Thompson

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2016
1,633 3,576 280
sasa hawa wanaotunga hizi habari wawe wanafikiria kidogo, Magufuli alitamka hadharani kabisa kuwa atamlinda Kikwete leo aje apige mnada mali za taasisi ya mkewe? Watanzania bana..
 
Egnecious

Egnecious

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2015
Messages
798
Likes
567
Points
180
Age
28
Egnecious

Egnecious

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2015
798 567 180
Taarifa ya kukanusha uzushi unaoenea kwenye mitandao ya kijamii zinazomhusisha Rais Dkt Magufuli kuzuia mizigo ya aliekuwa mke wa Rais wa Awamu Ya Nne Mama Salma Kikwete
1480846666310-jpg.442598
 
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Messages
21,528
Likes
16,349
Points
280
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2010
21,528 16,349 280
Kwani anausafi gani hata achafuliwe?

Tunakumbukizi ya nyumba za serikali zilizogawiwa kwa kwaa kwaaa kwaa!!!

Nina kigugumizi.
Nitarejea baadae
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
24,309
Likes
55,367
Points
280
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
24,309 55,367 280
Wasingekanusha ndiyo ingekuwa habari, hili tulilitarajia
 
Nichumu Nibebike

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Messages
8,791
Likes
15,204
Points
280
Age
35
Nichumu Nibebike

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2016
8,791 15,204 280
Msigwa inabidi na wewe ubadilike.. Huu uandishi wa karne ya saba achana nao.. Sasa ofisi yako inabidi ielewe nafasi kubwa ya mitandao ya kijamii.. Barua zako inabidi zianze kusomeka hivi, "Taarifa kwa vyombo vya habari na mitandao ya kijamii"...
 
technically

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Messages
7,448
Likes
18,834
Points
280
technically

technically

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2016
7,448 18,834 280
Eti wamekanusha hivi Ikulu siku hizi ndio TRA?.......

Ikulu siku hizi ndio bandari?.............

Yaani jambo dogo kama hili eti serikali inakanusha kutokea ikulu.........

Kwahiyo watu wanaouziwa mahoteli,Nyumba ,na Mali zao maagizo yote yanatoka Ikulu kwa Magufuki ili wafanyiwe hivyo?.......

Kweli tumeingia chaka awamu hii.......
 
S

singojr

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2014
Messages
4,081
Likes
4,413
Points
280
S

singojr

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2014
4,081 4,413 280
Hawa wanajaribu kuonyesha ubaya wa mitandao ya kijamii ili waseme imejaa uzushi na tunaifungia...alafu malaika wa mtandao anashuka
 
B

Bekabundime

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Messages
1,707
Likes
1,346
Points
280
B

Bekabundime

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2014
1,707 1,346 280
Sasa kweli imekanushwa lkn mbona haija eleza kwamba hiyo mizigo iko wapi,ya kwamba mama ameshaitoa au bado,au anakanusha yeye lkn TRA wanaendelea kuishikilia,ili ionekane TRA ndio wanao Fanya lkn si kwa amri ya mkuu,bali ni sheria na taratibu.
 
ZNM

ZNM

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2015
Messages
1,011
Likes
972
Points
280
ZNM

ZNM

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2015
1,011 972 280
Kama ni uzushi, tcra watafute chanzo kisha wakichukulie hatua za kisheria na watujuze, vinginevyo mimi nitaona imekanushwa kiutu uzima!
 
Root

Root

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Messages
29,770
Likes
17,426
Points
280
Root

Root

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2012
29,770 17,426 280
Ni kweli yalitokea vinginevyo hilo gazeti lingefungiwa
 
MSIMISEKI SENIOR

MSIMISEKI SENIOR

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Messages
462
Likes
219
Points
60
MSIMISEKI SENIOR

MSIMISEKI SENIOR

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2014
462 219 60
Nitarejea mvua ikikatika maana kuna wingu zito sana
 
Automata

Automata

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2015
Messages
1,870
Likes
1,661
Points
280
Automata

Automata

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2015
1,870 1,661 280
Sawa Mh. Raisi ujumbe wataupata, lakini mbona yule Extremist Sheikh Khalifa Khamis na gazeti la Mizani hujakemea?
 
schneider

schneider

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Messages
777
Likes
608
Points
180
schneider

schneider

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2015
777 608 180
Si alisaini sijui Ushuzi gani vile!!
 
L

laptop67

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Messages
350
Likes
216
Points
60
L

laptop67

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2016
350 216 60
Kwani anausafi gani hata achafuliwe?

Tunakumbukizi ya nyumba za serikali zilizogawiwa kwa kwaa kwaaa kwaa!!!

Nina kigugumizi.
Nitarejea baadae
Panya buku hamdhuru panya mwitu
 
sheiza

sheiza

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Messages
3,838
Likes
3,976
Points
280
sheiza

sheiza

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2010
3,838 3,976 280
Eti wamekanusha hivi Ikulu siku hizi ndio TRA?.......

Ikulu siku hizi ndio bandari?.............

Yaani jambo dogo kama hili eti serikali inakanusha kutokea ikulu.........

Kwahiyo watu wanaouziwa mahoteli,Nyumba ,na Mali zao maagizo yote yanatoka Ikulu kwa Magufuki ili wafanyiwe hivyo?.......

Kweli tumeingia chaka awamu hii.......
Na mlivyosema yeye amezuia hamkuliona hilo au bado mnaweweseka na kipigo cha octoba 2015??
 
B

babylata

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Messages
2,971
Likes
1,578
Points
280
B

babylata

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2015
2,971 1,578 280
Kwa huyo imeruhusiwa kuingiza bila kulipwa kodi
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,760
Likes
25,216
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,760 25,216 280
Tujitahidi kuleta habari ambazo tunakuwa na uhakika nazo.
 
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Messages
16,981
Likes
9,989
Points
280
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2012
16,981 9,989 280
Ukawa wameishiwa hoja wanatapatapa kwa kuzua vioja.
 

Forum statistics

Threads 1,275,229
Members 490,947
Posts 30,536,252