Ikulu yageuka ukumbi wa sherehe mbalimbali!

Hivi Ikulu mnafikiria ni kitu gani? acheni ushamba,

tunacho pinga ikulu ni kutumia adress kufanyia ufisadi kama alivyotumia Benjamin Mkapa na Mkewe, ile ni office kama office nyingine za kazi

Nyumbani kwako ukipageuza nyumba/uwanja wa sherehe kila siku panabaki na heshima tena, hebu fikiria mara sabini maana nikisema fikiria mara mbili pengine utatoka na jibu la kugeuza nyumba yako unayoishi humo humo kuwe na bar ya mipombe ya aina mbalimbali
 
jamani wana jf inakera saaaana! Kuna tetesi kuwa eti sherehe za kutimiza miaka 50 ya udsm zikiambatana na uchangiaji wa student center zitafanyika ikulu mwishoni mwa mwezi huu wa kwanza. Inasemekana wageni waalikwa ni walewale wafisadi papa wanaoitafuna nchi hii km ra, el,na wafanyabiashara maarufu hapa tanzania. Cha kujiuliza ni kwamba, hii sherehe ni ya chuo kikuu, kwa nini isingefanyika hapo chuo halafu wao na huyo jeykei akaalikwa? Nafananisha na ukumbi wa sherehe kwani tangu mwaka uanze ikulu imekuwa booked ile mbaya! Bethdei, etc.
Wenye data zaidi changieni.

ha ha ha ha ha duuuuuh mazuri ya mkuu wetu wa kaya hamuyaoni kutwa kutafuta vinahau,,,ikulu ni ya watanzania wote mnakaribishwa,,,
 
Sasa ulitaka ifanyike wapi? na hiyo ni heshima kutoka kwa mtawala wako.

maeneo ya kufanyia yapo mawili kat ya haya,VIWANJA VYA UDSM,kama vile nkrumah hadi maeneo ya mdegree na UKUMBI WA MLIMANI CITY,JAMAN MBONA JEYKEI,HAPEND KWENDA UDSM?
 
ni kawaida kwa mswahili akipata atataka kila mtu ajue kapata na kujua kanunua nini au ana kitu gani kipya.habari ndio hiyo bado sherehe 2000 hadi amalize miaka iliosalia.kuna kumbukumbu ya harusi, kupata mjuku, kuongeza mke nk nk nk nkkkkkkkkk

Na bado kuna siku tutasikia mwali anatoka ikulu na mkole ni viwanja vya ikulu na burudani ni mkwaju ngoma.
 
Mbona hili ni dogo sana ,mmesahau party za Clinton enzi zile, kila week kulikua na dinner at the white house ,halafu kila siku lazima a celebrity alalae ikulu tena kwenye kile kitanda cha Linconln . Halafu wae wahuni kina Done Keaton na mwenzake ,wakapiga picha wakirukia rukia juu ya kitanda kama sio kitanda cha maana. oops uzuri ni kwamba walikua wanalipa wenywe kina clinton sio fedha za wabeba box.
 
Viongozi wetu wanafahamu fika kuwa wanafunzi wa UDSM wana hali mbaya kimaisha, kwa hiyo kupeleka viongozi pale KUFURAHI wakati wanafunzi wana hali mbaya ni MATUSI MAKUBWA kwa wasomi hao wa UDSM, na inaweza hao wana Ikulu wakapigwa mawe.

Hapa pia viongozi wamepora sherehe ya wasomi wetu, wameshindwa kukabiliana na changamoto za wasomi wetu. Wao wanataka zile sherehe za kugongeana glasi cheeeeeers, then mabusu, ma-hugs, matabasamu na kucheeeeeeka. Mkuu wetu hakualikwa Mei Mosi mwaka jana, sasa ya mwaka huu itafanyika ikulu pia
 
p7.jpg

Wengine na jeans
wengine na t shirt za tigo
wengine na suti za kuazima(bado inauzwa boutique ndo maana haijatolewa designer lebo)
Wengine na kofia za sox(mzula)
Sun glasses usiku
Basi ni pilau tupu ya mavazi
 
Mbona hili ni dogo sana ,mmesahau party za Clinton enzi zile, kila week kulikua na dinner at the white house ,halafu kila siku lazima a celebrity alalae ikulu tena kwenye kile kitanda cha Linconln . Halafu wae wahuni kina Done Keaton na mwenzake ,wakapiga picha wakirukia rukia juu ya kitanda kama sio kitanda cha maana. oops uzuri ni kwamba walikua wanalipa wenywe kina clinton sio fedha za wabeba box.

at least clinton wananchi wake walikua hawalali chini wala kukosa panadol mahospitalini..
 
Waliomchagua walikuwa wengi na ameapishwa kukaa Ikulukwa idhini ya wote. Hayo ayafanyayo ni malupulupu ya Urais. Mwacheni ajimwage msimbanie!
 
Back
Top Bottom