bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 8,094
- 7,852
ni kawaida kwa mswahili akipata atataka kila mtu ajue kapata na kujua kanunua nini au ana kitu gani kipya.habari ndio hiyo bado sherehe 2000 hadi amalize miaka iliosalia.kuna kumbukumbu ya harusi, kupata mjuku, kuongeza mke nk nk nk nkkkkkkkkk
Wacheni roho mbaya zenu hizo, kwani Ikulu si inaendeshwa kwa kodi zetu bwana, munataka watu fulani tu ndiyo wende huko?
JK na Salma tualikeni tu na sisi angalau tujisifu kwamba siku moja tumeingia Ikulu. Kwani kuna kipi cha ajabu?