Ikulu yabadili anuani ya Tovuti yake

Ikulu yabadili anuani ya Tovuti yake

Kama inavyoonekana hapo chini tangu kuingia kwa Raisi Magufuli Ikulu yetu haitumii tena anwani ya .. gmail.com bali inatumia . Ikulu.co.tz !


1.jpg

Rais hasafiri kila siku yupo ofcn, katibu mkuu kiongozi anainuka ofcn kwenda fwatilia maagizo ya mkuu mtaani?

Huyo msigwa kwa nini asiweke sawa email/tovuti ya ikulu sawa
 
Last edited by a moderator:
Pombe atakuwa member wa JF si bure. Ingekuwa si name calling ningeanza kuhisi huenda ni Emtikei maana kapotea siku hizi

hahaha hata Mimi siku zile ngumu za kampeni na zile za upigaji kampeni/uhesabuji kura nilipotea hapa JF.am back now,hope some people think I'm someone in this new government.hahaha
 
Naamini sasa wazalendo wa kweli kwenye ofisi za umma wanaanza kutoa cnstructive ideas walizowaza toka muda ila hazikufanyiwa kazi... Yeyote mwenye Logical ideas sasa naye afanye hivyo... hii ndio TZ tunayoitaka
 
...hivi hatuwezi kuanzisha petition to call for a change ya hilo jina, just to send a message kuwa okay sisi watanzania kwa akili yetu binafsi tumeamua kuwa hii barabara iitwe "magogoni st" au hata "mchambawima str" vyovyote vile lakini sio hilo jina la sasa!
 
Kuna vitu vya aibu sana. Yaani State House inatumia Public Domain tena Gmail?? Wapi Wizara ya Sayansi na Tech kushauri mistake hii??? Aibu. Twende kazi Magufuli, twende baba!
Hiyo Wizara haina tija kwa Taifa letu zaidi ya kutetea Kampuni za simu na kujaribu kuiua TTCL,wanachangamkia na kupigia debe makampuni ya simu ya kigeni - mifano hipo Dk.Magufuli ajaribu kuangalia ujio wa ViaTel/HaloTel kuna kitu hakijakaa sawa,waliletwa nchini kufanya nini na je kazi iliyo waleta ndio wanaifanya au wamejingiza kwenye vitu vya ziada ambavyo vimekihuka makubaliano,kama ni hivyo nani alidhinisha ujinga huu!!

Wizara ya Sayansi na Technolojia ihamishiwe Wizara ya Elimu kama kitengo,hawa watu hawawezi kutuletea mabadiriko ya kweli katika masuala ya Techolojia ni wasanii sana,utasikia eti wamevumbua a 3D Printer wakati kila kitu wamecopy kutoka kwenye projects za wenzao mitandaoni, eti wamevumbua sijui software za kuzuhiya wizi wa simu wakati smartphones zote siku hizi zina apps hizo kama huna una download 4 free au malipo kidogo - uwezi uka reverse engineer uvumbuzi wa watu wengine alafu ukajifanya eti umevumbua wewe, kibaya zaidi Wizara inapigia debe vitu vya kitoto kama hivyo,mimi sio kwamba nataka kuwakatisha tamaa ninacho taka wawe wakweli,wasifanye usanii wa kuhitisha press conferences na kuzuga watu.
 
Hivi kumbe kina Salva waliendelea kukomaa na Gmail yao mpaka mwisho? Duuh kwenda shule ni jambo moja ila kuelim8lika ni jambo jingine kabisa.
 
Baraka Obama is our own jamani.First black American president with African origin.Hii ni heshima Kubwa kwa wa Africa kuutangazia ulimwengu Kuwa mwafrica anaweza kutawala dunia.Mbona Mwai Kibaki alipewa bara bara na wengine kina Kenyata na Mandela?Na kwa upendeleo Obama aliotembelea Tz ya kwanza kwa Africa hata kabla ya Kenya.Mi naona kwa heshima Obama aliyo nayo kumpa hiyo barabara ninheshima na Kumbu Kumbu itakayo dumu vizazi na vizazi.Jina lenywe Baraka la Kiswahili kabisa.Angekuwa anaitwa Franklin au George bush ndo ingeleta walakini.
 
Baraka Obama is our own jamani.First black American president with African origin.Hii ni heshima Kubwa kwa wa Africa kuutangazia ulimwengu Kuwa mwafrica anaweza kutawala dunia.Mbona Mwai Kibaki alipewa bara bara na wengine kina Kenyata na Mandela?Na kwa upendeleo Obama aliotembelea Tz ya kwanza kwa Africa hata kabla ya Kenya.Mi naona kwa heshima Obama aliyo nayo kumpa hiyo barabara ninheshima na Kumbu Kumbu itakayo dumu vizazi na vizazi.Jina lenywe Baraka la Kiswahili kabisa.Angekuwa anaitwa Franklin au George bush ndo ingeleta walakini.

Yametoka wapi haya?au ni makusudi tu?
 
Hivi ni kwa nini barabara ya ikulu inaitwa BARACK OBAMA? Huu ni ujinga!Kuna kina Mkwawa, Mirambo, Kinjeketile, etc!Rais wa marekani ndo barabara ya ikulu inapewa jina lake?
Wewew unawoana hao jamaa walikuwa na maana.Walikuwa magaidi tuu na wauza watumwa wazuri.Tatizo hamsomi sana between lines na kujazia na comparative historical notes.Wewe ndio mjinga kupindukia.Wanyalu nao huwa wanavaa mavazi ya kiarabu na kucheza wanaziita ni zao. Kila nikiangali amiswahili ikijifanya kwamba mambo fulani fulani ni mila za kiafrica inatia kichefuchefu kwelikweli.
 
Kama inavyoonekana hapo chini tangu kuingia kwa Raisi Magufuli Ikulu yetu haitumii tena anwani ya .. gmail.com bali inatumia . Ikulu.co.tz !


1.jpg
Hivi email address huitwa anwani ya tovuti?
Halafu mkuu mbona haraka sana? Umetoa wapi ikulu.co.tz?
 
Back
Top Bottom