Ikulu yabadili anuani ya Tovuti yake

Ikulu yabadili anuani ya Tovuti yake

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Kama inavyoonekana hapo chini tangu kuingia kwa Raisi Magufuli Ikulu yetu haitumii tena anwani ya .. gmail.com bali inatumia . Ikulu.co.tz !


1.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hiyo anuani ya chief ni ya jikoni au?
 
safi sana.........

hapa kazi tu!
 
Hii ni demonstration ya seriousness - Mungu asimamie hii nia ya Magufuli isibadilike and asitekwe na kutishwa na powers that be. Losers ni wengi kama Rais mpya ataendelea hivi na hawa losers hawatakubali watafight back.
 
Pombe atakuwa member wa JF si bure. Ingekuwa si name calling ningeanza kuhisi huenda ni Emtikei maana kapotea siku hizi
 
Hiyo Barack Obama Road inanitia kichefuchefu kila ninapoiona.
 
Pombe atakuwa member wa JF si bure. Ingekuwa si name calling ningeanza kuhisi huenda ni Emtikei maana kapotea siku hizi

bado yumo ila naona kapunguza sana kuchangia bado yuko busy
 
Hivi ni kwa nini barabara ya ikulu inaitwa BARACK OBAMA? Huu ni ujinga!
Kuna kina Mkwawa, Mirambo, Kinjeketile, etc!
Rais wa marekani ndo barabara ya ikulu inapewa jina lake?
 
Kuna vitu vya aibu sana. Yaani State House inatumia Public Domain tena Gmail?? Wapi Wizara ya Sayansi na Tech kushauri mistake hii??? Aibu. Twende kazi Magufuli, twende baba!
 
Hiyo safi sana,miaka ya nyuma we tried kuwaonya IKULU specifically kitengo cha Rweyemamu kwamba wasitumie E-Mail addresses za WEBMAIL sioni kama ushauri wetu walituchukulia seriously.
 
Sawa safi sana ndio maana hackers wametulia. Gmail ni rahisi kuhack ndio maana kila alichofinya jk haikuwa siri. Zamani tulishajua baraza la mawaziri ila kwa sasa hata jina la naibu waziri yeyote mtaani halipo!
Mkuu rekebisha, sio co.tz ...ni go.tz
 
Kuna vitu vya aibu sana. Yaani State House inatumia Public Domain tena Gmail?? Wapi Wizara ya Sayansi na Tech kushauri mistake hii??? Aibu. Twende kazi Magufuli, twende baba!
Kuna wale magamba wahuni ndy walifanya hivo,
 
Back
Top Bottom